Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Na mtu jamani hakupigi wala hakujulii hali yeye ni hasira tu masaa yote nakukushutumu kwa hili au lile anapenda mapenzi kushinda chai jamani huyu ananja tu ila mapenzi hakuna napia shida ni hii usipompa ndio visa vinaanza .
Swali amepewaga hapana
 
Vipi muhindi akiwa anakula mikeka yako kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakua hakupendi piaa etii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jinga kwel ww
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Simply kikawaida kama mwanamke hajakupenda hajakupenda tu hata ufanyaje, hata upandishe upendo mpaka mlima kilimanjaro.
 
Kiukwel kama ni mwanamke material mimi nitakuja mkosa coz nini moyo mdogo sana yaan nikiingia kwenye mahusiano na limtu ambalo mimi ndio naplay part ya kulitafuta lenyewe hata nisipo litafuta linanipga kimya huwa nafikia kipindi na mm nalipotezea kabisa ujinga sipend mm.
 
hapo unakuwa umefuata katiba ya mabaharia vizur.......kinachofata huyo mdada asubiri tu upepo wa kisuli suli
 
Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Baharia umenena kwel
 
Back
Top Bottom