Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.

Kazi ya kulinda mahusino ni ya wote wawili, kama mwanaume ukianza na jitihada za kulinda uhusiano kuna asilimia zaidi ya 80 ukapigwa chini, Hawa viumbe wako tofauti sana, jifunze kupenda kisha muachie huyo unayempenda alinde uhusiano na ajifunze kukupenda pia

Wanaume tuna changamoto moja (ndio tunaotongoza) sisi ndio tunatakiwa kumhakikishia mwanamke kuwa unampenda, ni mara chache sana kujikuta watu wawili mko 100% kwenye mapenzi, mmoja lazima aingie yupo half half
 
Kwa hiyo unashauri mwanzoni wakati wa kutongoza demu akiwa anasuasua kupokea simu na kujibu sms mwanaume anatakiwa kukomaa nae hivo hivo ?
 
Kabisa mkuu, unaweza kuta mwanamke yupo kwenye uhusiano na mtu mwingine, ama ametoka kuumizwa au hataki uhusiano kwa wakati huo, ama hajavutiea na wewe hivyo inahitaji ushawishi ukiona mwanamke amekukubali haraka haraka jiulize mara mbili, inawezekana alikuwa anakupenda ama anataka kukutumia
 
Daah. Ila inahitaji moyo kumpigia mtu simu mara kwa mara mtu ambaye hataki kupokea simu zako.
 
Back
Top Bottom