mnyakyusa wa ipyela
Member
- Jun 3, 2018
- 33
- 14
Pôle sana agnes Lia n'a moyo gwako
Hakuna laana wala nini, kwani kwa Mungu si walikuwa wazinzi tu? Yeye Paulo aendelee kula vitu toka Birmingham, wakichokana aanze na mwingine. Agnes nae atafute kidume mwingine, ukisikia watu wametengeneza msururu kabla ya ndoa ndio kama hivi.Kuna laana nyingine hua tunajitakia sisi wenyewe kwa kweli.. ila amini nakwambia kama huyo mdada alikua mwaminifu kwake hakika mungu hatoacha chozi lake bure lazima lije na fundisho
kwa vigezo vyake pol yupo sahihi
Ni kama yaliyonikuta na mpenzi wangu Maria nakwambia. HAKUNA HATA CHEMBE YA UONGO nadhani ume copy tukio letu, uongo?Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na mawasiliano mpaka Paul anaaza first year kama mwanafunzi wa sheria.
Paul alikuwa mwanaume wa kwanza kwa Agnes. Penzi liliendelea mpaka Paul anaanza kazi na Agnes akiwa mwaka wa mwisho chuoni. Akili ya Agnes ilishajiweka kuwa Paul ndiye mume wake. Pamoja na kuhakikisha weekends analala kwa Paul for his sexual needs.
Ofisini amekuja binti wa diaspora alisoma Sheria Birmingham. Vijana wote wanajaribu bahati wale wenye ma confidence wengine wanamchomolea hata maongezi kwani mtoto alisoma nje tangu shule ya msingi anamwaga yai kama Michelle Obama.
Paul na yeye amejaribu bahati, mtoto amekubali kwenda kunywa kidogo baada ya kazi. Baada ya dates mbili tatu Paul alimuona diaspora kuwa ndiye wife material. Akijifikiria ni kuwa kwa Agnes ilikuwa foolish age years wala hana commitment yeyote nae.
Sasa Agnes akitaka kwenda kwa Paul kila siku kuna sababu, mara nitakuwa kijijini, nitakuwa kwenye work trip mara mama ananihitaji weekend hii.
Yote Tisa kumi ni siku ambayo Agnes amejifungasha anafika kwenye gate anaambiwa mimi hii tabia ya kujiamulia unakuja kwangu bila taatifa siipendi kabisa, mara anamuona binti diaspora na ki pence cha jeans anauliza “babe is there any problem?
Sasa Agnes amepata mshtuko anamwambia Paul Mungu atakuadhibu, ni uwe umalizie umeshaniua mimi. Nimekusubiri miaka yote. Maneno yamekuwa mengi mpaka majirani wamekaribia.
Mama mwenye nyumba wa Paul ambae anaishi kwenye guest wing amemchukua Agnes na kumpeleka kwake. Paul kichwani anawaza jinsi ya kumsimulia diaspora timbwili lile limetoka wapi.
Duuuu pole agnes "Don't trust any one except your self"Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na mawasiliano mpaka Paul anaaza first year kama mwanafunzi wa sheria.
Paul alikuwa mwanaume wa kwanza kwa Agnes. Penzi liliendelea mpaka Paul anaanza kazi na Agnes akiwa mwaka wa mwisho chuoni. Akili ya Agnes ilishajiweka kuwa Paul ndiye mume wake. Pamoja na kuhakikisha weekends analala kwa Paul for his sexual needs.
Ofisini amekuja binti wa diaspora alisoma Sheria Birmingham. Vijana wote wanajaribu bahati wale wenye ma confidence wengine wanamchomolea hata maongezi kwani mtoto alisoma nje tangu shule ya msingi anamwaga yai kama Michelle Obama.
Paul na yeye amejaribu bahati, mtoto amekubali kwenda kunywa kidogo baada ya kazi. Baada ya dates mbili tatu Paul alimuona diaspora kuwa ndiye wife material. Akijifikiria ni kuwa kwa Agnes ilikuwa foolish age years wala hana commitment yeyote nae.
Sasa Agnes akitaka kwenda kwa Paul kila siku kuna sababu, mara nitakuwa kijijini, nitakuwa kwenye work trip mara mama ananihitaji weekend hii.
Yote Tisa kumi ni siku ambayo Agnes amejifungasha anafika kwenye gate anaambiwa mimi hii tabia ya kujiamulia unakuja kwangu bila taatifa siipendi kabisa, mara anamuona binti diaspora na ki pence cha jeans anauliza “babe is there any problem?
Sasa Agnes amepata mshtuko anamwambia Paul Mungu atakuadhibu, ni uwe umalizie umeshaniua mimi. Nimekusubiri miaka yote. Maneno yamekuwa mengi mpaka majirani wamekaribia.
Mama mwenye nyumba wa Paul ambae anaishi kwenye guest wing amemchukua Agnes na kumpeleka kwake. Paul kichwani anawaza jinsi ya kumsimulia diaspora timbwili lile limetoka wapi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mwanaume bila mchepuko ni sawa na taifa bila chama cha upinzani
Asante kwa funzo zuri, ni mambo ambayo hutokea kila uchao kwenye jamii zetu. Lakini hapa nirudi tena kwenu enyi mabinti, jitunzeni na zinaa. Kila siku nasema hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanamume, iko siku wataishia kitandani tu. Hizo habari za ni wa kwanza kwangu ni historia tu imeandikwa na haitobadilika kamwe. Huyo kamtoa bikra na kamtumia kujipozea mpaka pale umri wake ulipofika ndipo akatafuta mtu SAHIHI wa kufanana naye amwoe.Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na mawasiliano mpaka Paul anaaza first year kama mwanafunzi wa sheria.
Paul alikuwa mwanaume wa kwanza kwa Agnes. Penzi liliendelea mpaka Paul anaanza kazi na Agnes akiwa mwaka wa mwisho chuoni. Akili ya Agnes ilishajiweka kuwa Paul ndiye mume wake. Pamoja na kuhakikisha weekends analala kwa Paul for his sexual needs.
Ofisini amekuja binti wa diaspora alisoma Sheria Birmingham. Vijana wote wanajaribu bahati wale wenye ma confidence wengine wanamchomolea hata maongezi kwani mtoto alisoma nje tangu shule ya msingi anamwaga yai kama Michelle Obama.
Paul na yeye amejaribu bahati, mtoto amekubali kwenda kunywa kidogo baada ya kazi. Baada ya dates mbili tatu Paul alimuona diaspora kuwa ndiye wife material. Akijifikiria ni kuwa kwa Agnes ilikuwa foolish age years wala hana commitment yeyote nae.
Sasa Agnes akitaka kwenda kwa Paul kila siku kuna sababu, mara nitakuwa kijijini, nitakuwa kwenye work trip mara mama ananihitaji weekend hii.
Yote Tisa kumi ni siku ambayo Agnes amejifungasha anafika kwenye gate anaambiwa mimi hii tabia ya kujiamulia unakuja kwangu bila taatifa siipendi kabisa, mara anamuona binti diaspora na ki pence cha jeans anauliza “babe is there any problem?
Sasa Agnes amepata mshtuko anamwambia Paul Mungu atakuadhibu, ni uwe umalizie umeshaniua mimi. Nimekusubiri miaka yote. Maneno yamekuwa mengi mpaka majirani wamekaribia.
Mama mwenye nyumba wa Paul ambae anaishi kwenye guest wing amemchukua Agnes na kumpeleka kwake. Paul kichwani anawaza jinsi ya kumsimulia diaspora timbwili lile limetoka wapi.
Leo naona raia wamechomoa betri kwenye uzi wako wa bikra hahahahaAsante kwa funzo zuri, ni mambo ambayo hutokea kila uchao kwenye jamii zetu. Lakini hapa nirudi tena kwenu enyi mabinti, jitunzeni na zinaa. Kila siku nasema hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanamume, iko siku wataishia kitandani tu. Hizo habari za ni wa kwanza kwangu ni historia tu imeandikwa na haitobadilika kamwe. Huyo kamtoa bikra na kamtumia kujipozea mpaka pale umri wake ulipofika ndipo akatafuta mtu SAHIHI wa kufanana naye amwoe.
Ewe binti, nguvu yako iko kwenye bikra, ndipo ilipo heshima yako, ndipo ulipo uzuri wako. Unaporuhusu kutolewa bikra nje ya ndoa ni dalili ya ukahaba, hivyo sio lazima kwamba utaolewa na huyo mwanamume. Huyu binti aligeuka kahaba, akawa anakwenda kulala na Paul ili kumtimizia mahitaji yake ya kingono, huoni kama hayo ndio haswa majukumu ya kahaba? Ni ujinga wake binti huyu kutarajia ndoa kwenye mazingira kama haya.
Binti, tambua kuwa unapopoteza bikra unajiweka kwenye wakati mgumu kuolewa, unacheza tatu mzuka ndoa yako. Purity is everything, mengine ni kudanganyana tu.
Hahahaha akijikanyaga tu ndo ntoleeeeMe binafsi siwezi Kumuacha dame kama hvo lazima nimtengenezee mazingira ya kunikosea,
Tunaendelea kukumbushana, muhimu wanasomaLeo naona raia wamechomoa betri kwenye uzi wako wa bikra hahahaha