Ukiona dalili hizi kwenye relationship jipange

Ukiona dalili hizi kwenye relationship jipange

unaoa wote wawili tu
hamna cha ajabu hapo
 
Mungu yupi huyo anayelipia wazinzi?
Angesubiri ndoa kwanza ndio amtunuku papuchi jamaa
Sisi tunapenda kwa hisia sana. Pale blue napotongozwa was meshapiga picha mwanaume amekuwa mume wako na watoto mmezaa.
 
Ni shida, pole zake Ageness akubaliane tu na hali Mungu atampatia Paul mwingine.
 
Sisi tunapenda kwa hisia sana. Pale blue napotongozwa was meshapiga picha mwanaume amekuwa mume wako na watoto mmezaa.
Hapo ndo tatizo linapoanza!

Yaani usimwamini Mwanaume angalau kidogo labda akishakuweka ndani!

Yaani ni vigumu mno kwa Mwanaume akifutwa na mwanamke akaambiwa nakupenda halafu akatae!
 
Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na mawasiliano mpaka Paul anaaza first year kama mwanafunzi wa sheria.

Paul alikuwa mwanaume wa kwanza kwa Agnes. Penzi kiliendelea mpaka Paul ana annza kazi na Agnes akiwa mwaka wa mwisho chuoni. Akili ya Agnes ilishajiweka kuwa Paul ndiye mume wake. Pamoja na kuhakikisha weekends analala kwa Paul for his sexual needs.

Ofisini amekuja bint wa diaspora alisoma sheria Birmingham. Vijana wote wanajaribu bahati wale wenye ma confidence wengine wanamchomolea hata maongezi kwani mtoto alisoma nje tangu shule ya msingi anamwaga yai kama Michelle Obama.

Paul na yeye amejaribu bahati, mtoto amekubali kwenda kunywa kidogo baada ya kazi. Baada ya dates mbili tatu Paul alimuona diaspora kuwa ndiye wife material. Akijifikiria ni kuwa kwa Agnes ilikuwa foolish age years wala hana commitment yeyote nae.

Sasa Agnes akitaka kwenda kwa Paul kila siku kuna sababu, mara nitakuwa kijijini, nitakuwa kwenye work trip mara mama ananihitaji weekend hii. Yote Tisa kumi ni siku ambayo Agnes amejifungasha anafika kwenye gate anaambiwa mimi hii tabia ya kujiamulia unakuja kwangu bila taatifa siipendi kabisa, mara anamuona binti diaspora na ki pence cha jeans anauliza “babe is there any problem?

Sasa Agnes amepata mshtuko anamwambia Paul Mungu atakuadhibu, ni uwe umalizie umeshaniua mimi. Nimekusubiri miaka yote. Maneno yamekuwa mengi mpaka majirani wamekaribia.

Mama mwenye nyumba wa Paul ambae anaishi kwenye guest wing amemchukua Agnes na kumpeleka kwake. Paul kichwani anawaza jinsi ya kumsimulia diaspora timbwili lile nlimetoka wapi.
duhhhh pole sana agnes wawatu
 
Back
Top Bottom