Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

Ukiona dalili hizi Jua unakaribia kuachwa

ukiijua human psychology hayo mengine hayatakuumiza, yani ni ile tu anaanza early signs za kutokukupenda unakuwa ushamsoma, ...

Better to understand the human behaviour
 
Pole sana drama zinaumiza sana...Mapenzi ya kuachana na drama huwa anaeachwa bila hatia anatoa laana! Hata huko uendapo unabaki huna amani!
Du, mkuu inauma Sana tena sana kwa kweli, nilivokuwa mdogoemdogo nilikuwa nashangaa kwa nini watu walilie mapenzi? Lkn now nimejua hi kitu ni hatar.. Kilivhonisaidia ku handle hi hali ni kwa vile tu natembelea hapa jamiiforum then napata ideas nying kuhusu mapenzi bila ivo unaweza fanya maamuzi ya kutisha ET!
 
Mapenzi ya kibongo ni sawa na Umeme wa tz,ukikatika tu chukua generator uwashe
 
Daaaah!!!Mambo haya magumu kweli,hayana mcha Mungu wala asie amini kabisa.na yanaumiza sana ila utafanyeje??ndio unakuta unapitia hivo
 
Back
Top Bottom