Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
itakuwa vyema sanaKwa kweli..nitajitahidi
itakuwa vyema sanaKwa kweli..nitajitahidi
Acha kabisa mkuu ni inauma, mwenzenu nimeachwa Leo hii hii tena nilichoambiwa ni kuwa naomba tuachane. samahani Griffin 2 kwa kutokufikia matarajio yetu.Mapenzi hayana formula,anaweza kuwa karibu ila mara paaap!unaachwa
Hee!pole..na hajakwambia sababu?Acha kabisa mkuu ni inauma, mwenzenu nimeachwa Leo hii hii tena nilichoambiwa ni kuwa naomba tuachane. samahani Griffin 2 kwa kutokufikia matarajio yetu.
Sijajibu kitu mpaka muda huu kwani najisikia nimepigwa ganzi.
HahahahahHata wale wanaosema "nipo busy nipo bize",ukimtext hakujibu au anakujibu short ni wa kuwaangalia sana
Suprize zinauma sana hizoHahhahh hapana ila watu yanawakuta..mta hadi mara ya mwisho anaonana na mpenzi wake walikuwa vizuri ila ghafla unaambiwa hutakiwi tena
Haoneshi dalili wala nini
Zinauma ila ndio bora kuliko kuanzishiwa dramaSuprize zinauma sana hizo
Dah mi pia sijielewi hapa, nimesafiri kidogo niko mkoa na tayari kuna njemba imepelekewa mzigo kimya kimya. Wacha niskilizie mlio tu! Ingawa hajui mchezo ninajuaAcha kabisa mkuu ni inauma, mwenzenu nimeachwa Leo hii hii tena nilichoambiwa ni kuwa naomba tuachane. samahani Griffin 2 kwa kutokufikia matarajio yetu.
Sijajibu kitu mpaka muda huu kwani najisikia nimepigwa ganzi.
Dah mi bora uchanwe ulie tu ila ukinyamaza imetoka. Ni ku delete memories zote na kusonga mbeleZinauma ila ndio bora kuliko kuanzishiwa drama
Hii ipo mana mi ni mhanga,sasa kinachouma ni pale leo kakudedicate good song Kama ya maua sama na ben paul 'this love 'af wiki inayofuata ni cha mbavu sasa unajiuliza huyu mtu hii mipango alikuwa nayo toka lini? Leo mmemeet amepokea na gift kaomba na hela asuke af after two weeks anasema I got no feelings..!! Hiki kisa kimenifunza mambo mengi kuhus mapenz dadek...........!!!!! Maumivu yake ni Kama dozi ya ukimwi asubuh, Mchana, na jionHahhahh hapana ila watu yanawakuta..mta hadi mara ya mwisho anaonana na mpenzi wake walikuwa vizuri ila ghafla unaambiwa hutakiwi tena
Haoneshi dalili wala nini
Hata mimi napenda hivyoDah mi bora uchanwe ulie tu ila ukinyamaza imetoka. Ni ku delete memories zote na kusonga mbele
Mtu anang'ata na kupuliza...sasa wa nini watu kama hao?unashindwa kumove on na mambo yako sababu yakeHii ipo mana mi ni mhanga,sasa kinachouma ni pale leo kakudedicate good song Kama ya maua sama na ben paul 'this love 'af wiki inayofuata ni cha mbavu sasa unajiuliza huyu mtu hii mipango alikuwa nayo toka lini? Leo mmemeet amepokea na gift kaomba na hela asuke af after two weeks anasema I got no feelings..!! Hiki kisa kimenifunza mambo mengi kuhus mapenz dadek...........!!!!! Maumivu yake ni Kama dozi ya ukimwi asubuh, Mchana, na jion
Dah hapa pagumuhata kama mlikuwa mmepanga nae vitu vya msingi vya maisha??? Mali mlizochuma pamoja je
Hyu mtu alinipigia drama mpaka basi an,mpka nasema mapenzi hayapo fair kwa kweliMtu anang'ata na kupuliza...sasa wa nini watu kama hao?unashindwa kumove on na mambo yako sababu yake
Na unakuwa roho juu juu hujui leo atakuja na lipi jipya
Mi ni heri uniambie hunitaki kwa kweli
Na wanawake wanaotuumiza wanaume nao wafanyaje?Hakuna kitu kinatesa km mapenzi...wanaume eote baba yao ni mmoja hawana huruma ata kdg ila Mimi namuombea kla mwanaume anaemuimiza mwanamke ampendae akutane na maumivu zaid ya alompa mwenzake!! MUNGU WETU SOTE...!!!
Pole lakiniHyu mtu alinipigia drama mpaka basi an,mpka nasema mapenzi hayapo fair kwa kweli
Most people are coward to tell it on your face maana mara nyingi sababu ya kuacha huwa ni selfish reasons. Aidha anakimbilia kwenye mteremko wa life au pesa tuMtu anang'ata na kupuliza...sasa wa nini watu kama hao?unashindwa kumove on na mambo yako sababu yake
Na unakuwa roho juu juu hujui leo atakuja na lipi jipya
Mi ni heri uniambie hunitaki kwa kweli
Ndio hao unaanza kutafutiwa vijisababu na hizo dalili alizoongelea mleta thread..sio fair aseeMost people are coward to tell it on your face maana mara nyingi sababu ya kuacha huwa ni selfish reasons. Aidha anakimbilia kwenye mteremko wa life au pesa tu
Mkuu mi cjawah mpenda MTU anaemuumiza MTU yan alaaniwe amtesae bnadamu mwenzie bla sababuNa wanawake wanaotuumiza wanaume nao wafanyaje?