Ukiona dalili hizi jua hupendwi, shtuka!

Ukiona dalili hizi jua hupendwi, shtuka!

Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.

Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua kwamba hapo unaibiwa ndugu. Ukimtaka wewe anakuwa na vijisababu ooh Mara Leo haifai subiri siku Fulani na inakuwa ya kujirudia rudia ndugu yangu unapigwa.

Inakua na mpenzi na anaingiza pesa lakini wewe ndio unatoa tu yani yeye hajawahi hata kukununulia shati au kijizawadi ndugu unaishi na chuma ulete kimbia!

Unakuwa na mpenzi na una malengo ya kumuoa lakini hakutambulishi kwao ndugu kimbia unapotezewa muda..

Ongezea na dalili nyingine
Kumbe eeh, ok
 
Tatizo tunaamua kujiumiza sisi wenyewe Kwa kuweka ulazima wa kuwa na mpenz!
 
Anyway, mmenisema vya kutosha. Namuacha, yaishe
 
Upo sahihi mkuu

Kama kuna jambo ulisema utaniambia na muda ukafika nikasema niambie mkuu.
Hakuna matata.
Niambie sio neno baya at all hapana linategemea na mazingira, unakuta umemtafuta demu hakupatikana kwa muda huo kwenye simu anaona missed call zako labda tusime ni 2 anajua huyu alikuwa na kitu mpaka kukupigia Mara nyingi so anakusalia alafu anakwambia "Niambie" hapo kuna ubaya gani
 
Niambie sio neno baya Bali linategemeana na mazingira yakoje mpaka mtu kusema niambie, unakuta manzi kakuta missed call 2 au 3 za kwako so akakutafuta akaanza na salamu then akakwambia niambie maana yake ni kwamba una unitaji mno Ndio Maana ukampigia Mara nyingi sasa hapo kuna shida gani?
Wakuperuzi
Unajua kuna watu tuna value respect kuliko chochote.

Hakuna unyenyekevu wala respect hapo kweny hilo neno!

Inategemea hilo neno linaenda kwa nani na katika mazingira gani.

Kwa upande wangu hiyo ni red flag.

Ila hilo neno likija baada ya salamu
Tafsiri yake ni ile ambayo nimeweka juu huko.
 
Wengine hata kupata nafasi ya kuingiza kichwa tuu ni shida sasa huko vipi ,, si ni bora zangu nirudi nyeto republic tuuu
 
Back
Top Bottom