Ukiona dalili hizi jua hupendwi, shtuka!

I appreciate the fact that , this post is from a woman.
Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.

Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua kwamba hapo unaibiwa ndugu. Ukimtaka wewe anakuwa na vijisababu ooh Mara Leo haifai subiri siku Fulani na inakuwa ya kujirudia rudia ndugu yangu unapigwa.

Inakua na mpenzi na anaingiza pesa lakini wewe ndio unatoa tu yani yeye hajawahi hata kukununulia shati au kijizawadi ndugu unaishi na chuma ulete kimbia!

Unakuwa na mpenzi na una malengo ya kumuoa lakini hakutambulishi kwao ndugu kimbia unapotezewa muda..

Ongezea na dalili nyingine
 
Wakati wa kuwasiliana au Mnachati
Akikuandikia hili neno.

*NAMBIE"
"tell me"

Bonge moja la tusi hili.

Usikubali mtu yeyote akuandikie hii text au akutamkie hili neno .

Hii ni kwa wote

Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.

Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua kwamba hapo unaibiwa ndugu. Ukimtaka wewe anakuwa na vijisababu ooh Mara Leo haifai subiri siku Fulani na inakuwa ya kujirudia rudia ndugu yangu unapigwa.

Inakua na mpenzi na anaingiza pesa lakini wewe ndio unatoa tu yani yeye hajawahi hata kukununulia shati au kijizawadi ndugu unaishi na chuma ulete kimbia!

Unakuwa na mpenzi na una malengo ya kumuoa lakini hakutambulishi kwao ndugu kimbia unapotezewa muda..

Ongezea na dalili nyingine
 
Ukimuomba aku-akupost kwenye mitandao yote ya kijamii hasa jf akasema wataniniona mshamba wa mapenzi..hapo kimbia tena kwa mwendo kenge alibalehe
#HAKUNA KIFO PASIPO UHAI
Hivi wakuu ni Ulize ni sahih kumwomba mpenz akupost? Na ni kweli kumpost Mpenz ni ushamba au Utoto? Au watu wanatumia ka kisingizio tu vile hawako willing kuwaexpose wenzao?
Je ni kweli asiekupost ndiye anakupenda sana au inawezekana mtu akakupenda afu akawa anakuficha au ni anakuonea tu aibu kwa wenzie au Wapenz wengine?
 
kumpost unayempenda kwa mawazo yangu mimi binafsi napenda nipostiwe ili kuujulisha umma kwamba mmiliki halali ni fulani nkt.
 
Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.

Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua kwamba hapo unaibiwa ndugu. Ukimtaka wewe anakuwa na vijisababu ooh Mara Leo haifai subiri siku Fulani na inakuwa ya kujirudia rudia ndugu yangu unapigwa.

Inakua na mpenzi na anaingiza pesa lakini wewe ndio unatoa tu yani yeye hajawahi hata kukununulia shati au kijizawadi ndugu unaishi na chuma ulete kimbia!

Unakuwa na mpenzi na una malengo ya kumuoa lakini hakutambulishi kwao ndugu kimbia unapotezewa muda..

Ongezea na dalili nyingine

Dalili kubwa kama mwanamke hamkumbuki mwanaume na wako katika mahusiano, jua huyo mwanaume ni maskini au fukara au hana hela, mwanamke gani afuate njaa, mengine ni vijisababu tu
 
Back
Top Bottom