M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
yeah....kuekekea shimo la moto!Ccm mbele kwa mbele

Yangu macho! kwa kweli nawaogopa sana hawa jamaa wakiingilia kati lazima damu imwagike nikiangalia historia napata shida sanaTumeliona tamko lililotolewa na ubalozi wa Marekani kuhusu chaguzi ndogo zilizofanyiks tarehe 12 mwezi huu, na walichobaini kuhusu.uchaguzi huo ni kukataliwa kwa baadhi ya wagombea kwa sababu zisizo kuwa za msingi, matumizi ya nguvu kubwa ya Jeshi la Polisi na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na Uhuru wa kutoa maoni na kuminywa na kutotoa kwa usawa Uhuru wa kujieleza
Katika tamko lake NEC wamwataka hao ubalozi wa Marekani watoe ushahidi kuhusu madai yao na wakawaomba ubalozi huo ueleze umezipata wapi habari hizo wakati kulikuwa hakuna waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi huo??
Picha unayopatikana hapa ni kuwa hao NEC wameendesha uchaguzi huo uliojaa "madudu" ya kila aina kwa kuwa wao waliamini kuwa uchaguzi huo haukuwa na waangakizi wa kimataifa!
Tuwaambie tu NEC kuwa ulimwengu wa sasa ni kijiji na hakuna "maovu" yoyote yatakayofanyika hapa nchini na dunia isijue
Nini la kufanyika baada ya kuvuliiwa nguo kwa "madudu" yaliyofanyika?
Ni vyema kwa sasa taasisi zote zilizotajwa na ubalozi huo wa Marekani, zikajirudi na kuwatendea haki na zikatumia weledi mkubwa badala ya kufanya kazi kwa kutii maagizo tuka juu ambayo hayazingatii sheria na tatatibu za nchii!
Vile vile taasisi zinazojibu tuhuma hizo ziepuke "kutunishiana" misuli na ubalozi huo kwa kueleza kuwa hawapaswi kutuingilia mambo yetu ya ndani, badala ya kuangalia ni mahali gani tumekosea
Hivi tunawezaje kuongea kauli ya kejeli kwa wamarekani, wakati hua tunaenda tembeza "bakuri" la kuomba misaaada kwao??
Tutafakari na kuchukua hatua pale tulipokosea
Hii kujifariji kwa ' Here comes my big brother to beat your brains in' inadhalilisha sana. Pengine nakosea lakini kwa muda mrefu sana nimethubutu kuamini kwamba sisi waafrika ni binadamu kama binadamu wengine na kwamba utafika wakati nasi tuta kua kisayansi, kifikra, kijamii na hata kwenye siasa zetu. Kwamba utafika muda ambapo tutakamilika kama binadamu kwa kutojiletea matatizo ya kipumbavu, na kutatua matatizo yetu ya kawaida kwa kutumia bongo zetu na rasilimali zetu wenyewe bila kusaidiwa kwa ubaya au kwa wema na watu wengine. Sijakata tamaa but I am very disappointed so far.Tumeliona tamko lililotolewa na ubalozi wa Marekani kuhusu chaguzi ndogo zilizofanyiks tarehe 12 mwezi huu, na walichobaini kuhusu.uchaguzi huo ni kukataliwa kwa baadhi ya wagombea kwa sababu zisizo kuwa za msingi, matumizi ya nguvu kubwa ya Jeshi la Polisi na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na Uhuru wa kutoa maoni na kuminywa na kutotoa kwa usawa Uhuru wa kujieleza
Katika tamko lake NEC wamwataka hao ubalozi wa Marekani watoe ushahidi kuhusu madai yao na wakawaomba ubalozi huo ueleze umezipata wapi habari hizo wakati kulikuwa hakuna waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi huo??
Picha unayopatikana hapa ni kuwa hao NEC wameendesha uchaguzi huo uliojaa "madudu" ya kila aina kwa kuwa wao waliamini kuwa uchaguzi huo haukuwa na waangakizi wa kimataifa!
Tuwaambie tu NEC kuwa ulimwengu wa sasa ni kijiji na hakuna "maovu" yoyote yatakayofanyika hapa nchini na dunia isijue
Nini la kufanyika baada ya kuvuliiwa nguo kwa "madudu" yaliyofanyika?
Ni vyema kwa sasa taasisi zote zilizotajwa na ubalozi huo wa Marekani, zikajirudi na kuwatendea haki na zikatumia weledi mkubwa badala ya kufanya kazi kwa kutii maagizo tuka juu ambayo hayazingatii sheria na tatatibu za nchii!
Vile vile taasisi zinazojibu tuhuma hizo ziepuke "kutunishiana" misuli na ubalozi huo kwa kueleza kuwa hawapaswi kutuingilia mambo yetu ya ndani, badala ya kuangalia ni mahali gani tumekosea
Hivi tunawezaje kuongea kauli ya kejeli kwa wamarekani, wakati hua tunaenda tembeza "bakuri" la kuomba misaaada kwao??
Tutafakari na kuchukua hatua pale tulipokosea
una uhakika?Very true
Jiwe anaweza watunishia msuli Chadema, lakini hawezi hata kidogo kuwatambia Taifa kubwa la wamarekani!
mnawashwa matako nyie mnaoshabikia wazunguTumeliona tamko lililotolewa na ubalozi wa Marekani kuhusu chaguzi ndogo zilizofanyiks tarehe 12 mwezi huu, na walichobaini kuhusu.uchaguzi huo ni kukataliwa kwa baadhi ya wagombea kwa sababu zisizo kuwa za msingi, matumizi ya nguvu kubwa ya Jeshi la Polisi na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na Uhuru wa kutoa maoni na kuminywa na kutotoa kwa usawa Uhuru wa kujieleza
Katika tamko lake NEC wamwataka hao ubalozi wa Marekani watoe ushahidi kuhusu madai yao na wakawaomba ubalozi huo ueleze umezipata wapi habari hizo wakati kulikuwa hakuna waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi huo??
Picha unayopatikana hapa ni kuwa hao NEC wameendesha uchaguzi huo uliojaa "madudu" ya kila aina kwa kuwa wao waliamini kuwa uchaguzi huo haukuwa na waangakizi wa kimataifa!
Tuwaambie tu NEC kuwa ulimwengu wa sasa ni kijiji na hakuna "maovu" yoyote yatakayofanyika hapa nchini na dunia isijue
Nini la kufanyika baada ya kuvuliiwa nguo kwa "madudu" yaliyofanyika?
Ni vyema kwa sasa taasisi zote zilizotajwa na ubalozi huo wa Marekani, zikajirudi na kuwatendea haki na zikatumia weledi mkubwa badala ya kufanya kazi kwa kutii maagizo tuka juu ambayo hayazingatii sheria na tatatibu za nchii!
Vile vile taasisi zinazojibu tuhuma hizo ziepuke "kutunishiana" misuli na ubalozi huo kwa kueleza kuwa hawapaswi kutuingilia mambo yetu ya ndani, badala ya kuangalia ni mahali gani tumekosea
Hivi tunawezaje kuongea kauli ya kejeli kwa wamarekani, wakati hua tunaenda tembeza "bakuri" la kuomba misaaada kwao??
Tutafakari na kuchukua hatua pale tulipojikwaa......
Anatufanyia sisi, kwakuwa marais wote waliomtangulia wamemsusia, yeye anajua wanamuogopa!!Jeuri ya huyu Jiwe anaweza tufanyia sisi watanzania, lakini thubutu yake ajaribu kuwafanyia wamarekani!
Baba Marekani so komoro au ushelisheliWakati wa Mwalimu ubalozi huu ungefungwa kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru. Hoja ni moja: Wafauate taratibu za kufanya kazi nchini.
ubalozi wa Marekani wamesema ukweli mtupu na siku zote CCM huwa hawapendi kuambiwa ukweli na tume ya uchaguzi wajiandae yule mkurugenzi wake tayari FBI na CIA wanatafakari yale maneno yake aliyosema kuwa Marekani ni nani? Sasa Marekani watamuonyesha wao ni nani kwani pesa zao wanazoleta nchini kazi yake ni kuleta maendeleo si kununua wapinzani kwa gharama kubwa na kurudia chaguzi za uchakachuaju huku Polisi wakitumika kupora Ushindi na kuwasimika CCM kwa njia haramu.Hamna kitu hapo??
Mwambie Jiwe kama hajipendi awatunishie msuli wamarekani!
Mpaka ubalozi wa Marekani unatia tamko kama lile, basi ujue wamejiridhisha pssipo shaka yoyote kuwa chaguzi zile zilikuwa na "madudu" yasiyokuwa ya kawaida!
Marekani wana vyombo vyao vya usalama popote wanapokuwa Duniani wanajua na ushahidi wanao kuanzia video picha mpaka mikutano ya Siri ya CCM na Polisi wakipanga jinsi ya kupora Ushindi toka kwa wapinzani, ukiona Marekani kaanza kupiga kelele ujue wameanza kuchoka na unyanyasaji huo ni vyema tume ya uchaguzi wajipange waache uonevu uchakachuaji na hujuma zote kwa wapinzani.Kwa vile kule ulikofanyika uchaguzi wameshapata wawakilishi (japo ni wa chama tawala), sasa ni wakati wao kuwatuma hao wawakilishi kupeleka malalamiko yao juu ya uvunjifu wa sheria au haki za binadamu walioushuhudia. Wawakilishi ndiyo moja ya majukumu yao.
Wakati wa Mwalimu ubalozi huu ungefungwa kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru. Hoja ni moja: Wafauate taratibu za kufanya kazi nchini.