Mimi niolewe na mwanaume kama wewe nakutoa wapi?
Nakupeleka wapi? Eti uninyooshe





Zama za kupelekeshana zilikufa!!! Btw mume wangu ndo mkuu wangu nyumbani ndo maana nawashangaa mnaotaka kuwapelekesha wake zenu. Nna miaka 19 kwenye ndoa december natimiza wa 20 sijawahi kudharauliana na mume wangu. Hajawahi kusikia neno la kejeli. Kanikuta nna mshahara na yeye ana wa kwake tumepanga mipango pamoja hadi tunajenga nyumba ya pili sasa. Unataka kuniambia nini??! Upuuzi pelekeeni wake zenu mnaowaachisha kazi ili mkazae nje kipuuzi muwanyanyase unadhani hatuwajui. Mke unataka umuachishe kazi ili mkienda kufanya ufuska wawe hawana pa kwenda wawategemee nyinyi. Looh! Shame on you.
Kutokea familia ya kimaskini ningesomeshwa shule za kutambua utopolo wa design yako?? Women like us are not desperate for having controlling husbands.. we live with men who are caring and understanding na tunajenga family pamoja kwa upendo.
Ndoa yenye maelewano inawezekana kwa asilimia mia. Nyie watemi bebeni mandembele muipelekeshe. Unakuja kuoa mjini kifala lazima kila mwanamke umuone mjeuri na sio shida zangu. So ulitaka nije jf nianze kuamkia wanaume wote? Uje kwa adabu. Utanyenyekewa kwa mkeo kama nnavonyenyekea ya mume wangu. Eboo