Ukinivua kumbuka kunivalisha

Ukinivua kumbuka kunivalisha

Mie huwa navalisha mbona, nikumwambia tu huyo bae wako atazoea taratibu
 
binafsi nikimaliza kilichonifanya nikuvue sitaki hata kukuona karibu yangu na nikiona uchu wako najisikia hasira sana
 
Ukishakipata kwann usirudishie kama ulivyokuta?
Nikifungua balimi baridi na kuigigida baada ya kumaliza natakiwa nirudishe kifuniko tena. Zile chupa hurudishwa kiwandani ikasafishwe iwekewe laga nyingine tayari kwa kufunguliwa na mnywaji mwingine kivingine tena.
 
Ndo umeandika nini sasa hapa?
 
Nimekumbuka mbali,chakula ninunue mimi,kinywaji mimi,usafiri mimi,kukuvua mimi raha wote hadi kukuvisha pia? Hapana tusaidiane.

Siyo mimi niliyesema hayo maneno ni jamaa yangu mmoja
 
Back
Top Bottom