Ukinivua kumbuka kunivalisha

Ukinivua kumbuka kunivalisha

Ushaona wapi raisi anaomba kura baaada ya kushinda?????
 
Mara nyingi huwa tunavuana kwa joto kweli lkn tukisha timiza yetu kila mmoja anajivalisha ...kwanini tusivalishe pia?
Mbona mada zako nyingi ni za kingono ngono tu?don't you have anything better to bring to the table?mara kumvua nguo mke wa mwenzio,mara umetongozwa leo umetoa leoleo kwenye gari,mara ukinivua univalishe!so sad!Au yule aliyeliwa kwenye gari ni wewe ulitaka tujue tunakufikiriaje?Be carefull ukimwi unaua mkuu!
 
Unataka na kunawishwa pia halafu ndiyo uvalishwe!? Nauliza tu.

Mara nyingi huwa tunavuana kwa joto kweli lkn tukisha timiza yetu kila mmoja anajivalisha ...kwanini tusivalishe pia?
 
Mm huwaga nawavalisha, kama huamini njoo tujaribu
 
Back
Top Bottom