Ukinivua kumbuka kunivalisha

Ukinivua kumbuka kunivalisha

Ukishakipata kwann usirudishie kama ulivyokuta?
Kwani ukiomba kuvalishwa unakataliwa?
Katika uwanja huo kila "step" huombwa. Kuvuliwa huombwa, kisu mkononi kuchinja huombwa kwa unyenyekevu na shingo kuelekezwa kibra.
Ukiomba kuvalishwa pia haukataliwi, unavalishwa.
Vitendo vyote hivyo ni maigizo ya furaha, haukataliwi.
 
We ulieacha kumvalisha dada wa watu Mungu anakuona
 
Mara nyingi huwa tunavuana kwa joto kweli lkn tukisha timiza yetu kila mmoja anajivalisha ...kwanini tusivalishe pia?
Wanawake wengine unapiga rungu tu unaachana nayeee..

Kma ww hv.. jokee
 
Siwezi kukumbuka kukuvalisha wakati hapo napiga hesabu za nikudanganyeje kuhusu mzinga ulionipiga.
 
Mara nyingi huwa tunavuana kwa joto kweli lkn tukisha timiza yetu kila mmoja anajivalisha ...kwanini tusivalishe pia?
Hata kwenye daladala tunapanda kwa fujo nakupigana vikumbo,lakini wakat wa kushuka ,yaan ni taaratibu kama hutaki vile
 
Back
Top Bottom