Ukinichiti nakuchiti

Ukinichiti nakuchiti

Unataka kushindana mwanaume. Kipindi cha mwanamke kushine hakizidi miaka10 unakuwa ushachuja. Mwanaume ni forever young
Yaan sijaelewa mpaka kesho kwanini Mungu aliwafanyia hivyo wanawake

Muweke mwanaume anaetembeza mashine miaka 15 hakuna kilichochoka wala habadiriki mcheki yule jamaa anaitwa Calisa sijui atakueleza

Muweke mwanamke anaetembezewa mashine baada ya miaka 15 kachoka vibaya mno utadhani alifanyiwa upasuaji wa shepu miaka 15 (Vera Sidika) kabla kumbe mwanamke kadri anavyogongwagongwa ndio anavyozidi kukongoroka
 
Wakuu,

Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.

Yaani hivyoo.

Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala sikuwa na hard feelings ila maoni ya waja hasa ya wanaume yamenifanya niwe serious kidogo. Yani kwa kifupi wanaume hawapendi kuchapiwa kabisaaaaaa...yani wanapenda wao watende ila wasitendewe.

Ina maana umeniacha au umenitenda je nibaki single milele kisa K itachakaa??

Unanitesa bado nivumilie mateso kwakuwa tu eti nitaonekana malaya?? Kama moyoni mwangu najua sifanyi umalaya wala sijali. Ukiniacha na mimi nakuacha.... ukinichiti na mimi nitatafuta wa kunipoza tena nahamia kimapenzi huko kabisa.
Kwa hiyo furaha mmeumbiwa wanaume zaidi ila wanawake wameumbiwa mateso?
Asee wembe ule ule ulionyolea mwenzio ndo utakaokunyoa.
Naka #kichwayamaster
Naomba niku-cheat
 
Yaan sijaelewa mpaka kesho kwanini Mungu aliwafanyia hivyo wanawake

Muweke mwanaume anaetembeza mashine miaka 15 hakuna kilichochoka wala habadiriki mcheki yule jamaa anaitwa Calisa sijui atakueleza

Muweke mwanamke anaetembezewa mashine baada ya miaka 15 kachoka vibaya mno utadhani alifanyiwa upasuaji wa shepu miaka 15 (Vera Sidika) kabla kumbe mwanamke kadri anavyogongwagongwa ndio anavyozidi kukongoroka
Kwani lazima utembezewe moto kwa kuchanganya wanaume?

Asee nyie jidanganyeni tu....sex ya kupindukia inakuja kuchosha akili ya mwanaume akiwa mtu mzima (yani fishing linayumba) ila mwanamke atachoka mwili tu. Nina mfano wa Mzee aliyekuwa kicheche ujanani sasa hivi akili zisharuka ila mke walaaaaa kumbukumbu kama zote na bado kabisaaa. Mzee ni 90 mke 84.
We bao moja naskia ni kama umekimbia maili za kutosha....
 
Si wanawake hua mnaturoga sasa ulitegemea nini wakati kila mwanamke anakulisha limbwata la waganga tofauti km sio dishi kupoteza kumbukumbu? Mnaroga sana ili mpendwe peke yenu jambo ambalo halipo... Ulisikia wapi mwanaume analisha mwanamke limbwata ili ampende yeye tu?
 
Haya, huyu abebe vya huku na huyu abebe vya huku usiku mvichanganye.

Hakuna wa kubaki na watoto wenu. Mashangazi nguvu zimepungua.
 
Mkuu soma post yangu hapo namba 58

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Diesel Electric Multiple Unit(DEMU).

DEMU or Diesel–electric multiple unit a diesel engine drives an electric generator or an alternator which produces electric energy. The generated current is then fed to electric traction motors on the wheels or bogies in the same way as a conventional diesel-electric locomotive.
 
Mkuu huwa sipendi kubishana kwa kutumia mihemko bali kwa hoja tu
Nini maana ya neno DEMU kwa Kiswahili na je neno hili linatumika kwa usahihi?

MAANA:

1. Ni nguo mbovu iliyopasuka (Tambala Bovu)

2. Ni kitambaa ambacho zamani kilitumiwa na wanawake kuvaa kiunoni au kufunikia maziwa wakati wa kulima.

3. Kipande cha Khanga/Kitambaa anachofungwa mtoto kwa mbadala wa nepi ili akijinyea na kujikojolea yakae humo.

Hujasikia walisema
Dunia Tambala Bovu
Yaan Dunia ni DEMU
 
Back
Top Bottom