Hauvai Taulo kipindi upo hedhi au sio? Maana kile kitambaa unachokivaa ndio utambulisho wako kua wewe ni DEMU au bado unakataa?Me sio demu ni mwanamke
Swali langu kwako: Kwa hiyo suluhu yako kwenye suala la cheating ni wewe kugawa mbususu?Kama huchiti wala hutachitiwa
Tatizo ni wale wanaochiti halafu wanataka wengine wafe na stress
Wewe DEMU emu kaa kimya basi maana unaongea sana au upo kwenye siku zako za hedhi? Umevaa lile tambara kwanza?Masikini unatia huruma ona ulivyopanic hadi unaishia kutukana hovyo kama mwehu na wala hata hakuna cha ajabu unachotukana, mwanamke kumwagiwa ni maumbile yake hata mama yako alimwagiwa janaba ndio wewe ukapatikana, na kila mtu hapa duniani ni matokeo ya hizo janaba sasa sijui cha ajabu kipi hapo
Sawa DEMU utakua uko period leo,Sikujibu Tena![]()
Kuna mmoja anakojoa na mwingine anakojolewa so tofauti ipo hapo, wakikojoa 10 au20 na mwingine akikojolea 10 au 20 kuna mmoja atakuwa kama public toiletHuwa nashindwa kuelewa logic iko wapi hapa
Mkuu kumbuka mwanaume anafanya na mwanamke na mwanamke anafanya na mwanaume yani tendo hilo ni la kutegemeana baina ya jinsia hizo
Sasa haiingii akilini eti tendo linalohusisha jinsia mbili jinsia moja ikilifanya hilo tendo isifiwe halafu nyingine ikilifanya hilo hilo tendo idharauliwe hilo haliwezekani
So ni vizuri wote kujitunza ila mwanamke kujitunza zaidi ni credit, nyie kadri unavotumika zaidi unachakaa ila kadri mwanaume anavotumika zaidi anarudi ujanaKuna mmoja anakojoa na mwingine anakojolewa so tofauti ipo hapo, wakikojoa 10 au20 na mwingine akikojolea 10 au 20 kuna mmoja atakuwa kama public toilet
Imepenya kumoyo mamangu daaaahAbee baba yangu
Nakadori huna huruma naWakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala sikuwa na hard feelings ila maoni ya waja hasa ya wanaume yamenifanya niwe serious kidogo. Yani kwa kifupi wanaume hawapendi kuchapiwa kabisaaaaaa...yani wanapenda wao watende ila wasitendewe.
Ina maana umeniacha au umenitenda je nibaki single milele kisa K itachakaa??
Unanitesa bado nivumilie mateso kwakuwa tu eti nitaonekana malaya?? Kama moyoni mwangu najua sifanyi umalaya wala sijali. Ukiniacha na mimi nakuacha.... ukinichiti na mimi nitatafuta wa kunipoza tena nahamia kimapenzi huko kabisa.
Kwa hiyo furaha mmeumbiwa wanaume zaidi ila wanawake wameumbiwa mateso?
Asee wembe ule ule ulionyolea mwenzio ndo utakaokunyoa.
Naka #kichwayamaster
