Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,015
Nakadori au basi ila
Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Ukiwa katika ndoa na bahati mbaya mna watoto, hivi visasi utajutia maisha yako yoteWakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Mkuu dunia ya visasi hiyo sasa usifanye'ivoo.Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Achana na hizo akili.Utajiumiza zaidi.Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Humkomoi mtu unavuna mapepo ya ngono na nuksi sio kila ngono ni rahaWakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.

Mkuu umejipindaaa wakati mwenzio wala hayo sio maoni yangu ni ya macvoiceMkuu dunia ya visasi hiyo sasa usifanye'ivoo.
Kuna mambo mengine ukifanyiwa, samehe tyuu dunia isonge bhana.
Tuchukulie wewe ndiye uliyebananishwa sehemu ukacheat, je ni lazima na wewe utendewe hayo?
Mwizi haadhibiwi kwa kuibiwa na mzinzi haadhibiwi kwa kutombewa!
Halafu uelewe "cheat" ya wanaume na wanawake havilingani ni kama magharibi na mashariki.
Kucheat kwa mwanaume ni kwa tamaa na upendo hubakia kwa mkewe lakini kucheat kwa mwanamke ni kuhamisha upendo kutoka sehemu moja na kuupeleja sehemu nyingine, so hakuna usawa.
So, maamuzi yetu siku zote yahusishwe na busara na misamaha ili maisha yaendelee kuwepo.
Umeacha na kuachwa na wangapi?Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Ukurasa umefungwaKumbuka Kuna Mwanaume Rijali na Mwanamke Malaya.
Yani kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume aliyetafuna mademu 10 na mwanamke alietafunwa na wanaume 10
Kila la kheri