Ukiniambia nivae barakoa tutazinguana vibaya mno

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Rais kasifu Waumini kutovaa barakoa,kuonyesha hata barakoa sio chochote kwa corona

Kawambia watanzania kupitia waumini hakuna haja ya kuvaa barakoa

Wale viongozi wenye vihelehele vya kubana watu mtaani kuvaa barakoa na sanitizer tutazenguana vibaya kama hamjamsikia boss wenu

Za kuambiwa changanya na zako
 
Corona hakuna Magufuli kasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais kasifu Waumini kutovaa barakoa,kuonyesha hata barakoa sio chochote kwa corona

Kawambia watanzania kupitia waumini hakuna haja ya kuvaa barakoa

Wale viongozi wenye vihelehele vya kubana watu mtaani kuvaa barakoa na sanitizer tutazenguana vibaya kama hamjamsikia boss wenu

Za kuambiwa changanya na zako
Ndugu Mteja, ili kujikinga wewe mwenyewe na kuwakinga wengine na maambukizi ya Corona, hakikisha kuwa umevaa Barakoa kila utembeleleapo comments zangu.
 
Ila kuvaa barakoko ni mateso Jamani..uwiii..
😂 Sijawahi hata kuishika hiyo barakoa!
Poleni sana wenye viherehere mnaoiga wazungu.. wenzenu wanapumulia ndani kwa ndani nyie sasa wenye pumzi za kwenye atmosphere lazima mpate tabu😂😅
 
Back
Top Bottom