Ukiniacha Nakuloga

Ukiniacha Nakuloga

mkuu Bujibuji pole sana ebu tulia wenge liishe ma playboy haturongwi bhana watu tume vunja bikra 100 na ushee tushaa tishiwa sana ma miti shamba ndio kwanza kidume nawika!

hope za bikra za kichina
 
Last edited by a moderator:
Yaani sijui nilizimia sijui nilizirai, sijui nilipoteza fahamu, sijui nilikaribia kufa!!! yaani sielewielewi

Alafu bro unakumbuka ulikuwa umeahidi kufa ifikapo kipindi fulani ila wadau tunashangaa ahadi yako haitimii wakati mda uliojiwekea umekwishapita kitambo!
 
Nsitu hyo.....mbeya!!!

Hiyo kweli ni Mbeya lakini u najua asili yao? Ni wale waliofukuzwa Sumbawanga (Tupa uchawi) enzi hizo wakahamia maeneo kati ya Rungwe na Ileje maana hawakutaka kutupa uchawi wao.
 
Nawapenda sana wanaume najua umuhimu wao ila kwa wasiojielewa ni zaidi ya chuki.
Haaaa...haaaa...haaaa...comment yako imenifanya nicheke sana maana imeambatana na chuki dhidi ya wanaume pamoja na visasi.
 
Back
Top Bottom