Ukiniacha Nakuloga

Ukiniacha Nakuloga

Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.

Haaaa...haaaa...haaaa...comment yako imenifanya nicheke sana maana imeambatana na chuki dhidi ya wanaume pamoja na visasi.
 
Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.
Hee kumbe mtu mwenyewe umo humuhumu JF!!!!
 
Sasa yale mandevu ya uvunguni yeye kayatunza ili iweje?
Mkuu nahisi labda umepata mshituko kutokana na taarifa alokupa huyo one night stand wako...
Asikutishe bwana anaeloga hajitambi wala hatoi vitisho anataka tu kukupima asikie jinsi gani uko serious naye au la...sasa na wewe hebu mrushe roho mwambie tangu siku mlipomaliza game jogoo hawiki ili akate tamaa..maana kinachomfanya akung'ang'anie mfanye aone hakipo...
Pia kumbuka kuchovya chovya kubaya..wengine samaki Wa sumu kaka...kama umri tayari jitahidi tu utafute mwenza wako maana hata maisha yenyewe siku hizi mafupi..!!
 
Hii ya Bujibuji isipotawala front page kwa siku zaidi ya 2 nitakumbatia transform nijirupue
181784_1822682284287_1157124586_32104517_2160828_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu binafsi utashangaa anaenda kufanyia nini...swali ni Dogo tu ambalo ningependa nikuulize...Je unaamini katika uchawi na mambo yanayofanana na hayo..??
 
Hata kama siamini, yeye anatunza uchafu ili nini kiwe nini?

Mkuu labda imani yake inamruhusu...
Isikupe sana mawazo Mkuu huyo anaku-shake kidogo ili akusikie unasemaje kuhusu ka-uhusiano kenu ka mpito.
Kama unaamini uchawi itakusumbua akilini lakini kama unapotezea kama Mimi wala isikupe taabu.
 
Back
Top Bottom