Ukiniacha Nakuloga

Ukiniacha Nakuloga

Mapenzi yananitia wazimu.

Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.

Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua kifaa na kuanza kunipunguza nyasi, maana nilikuwa na bonge la msitu.

Tukarudi ulingoni kwa nguvu na kasi mpya kuliko ile ya mwanzoni.

Kuja kutahamaki ni asubuhi, nikajiandaa fasta na kuelekea kazini, nikamdrop yule binti mitaa jirani na kwao kisha tukaagana.
Nikiwa kwenye mapumziko ya chakula cha mchana nikapokea simu kutoka kwa yule binti, "ahhh nimezimika na game lako, sitaki kukupoteza, hakika nimepata mume wa ndoto zangu".

Nikamjibu kirahisi tu kwa lugha ya nyumba, sahau....it was just a one night stand.

Binti akang'aka, "Unasemaje?

Nikamjibu hatuwezi kuoana, yaani tumeonna hata mwezi hatuna halafu leo iwe ndoa?
Akanijibu.

"Kwa taarifa yako yale mav*******z yako ninayo, na ukiniacha nitakuroga"

Saa hizi ndio nazinduka najikuta niko hospitali na chupa yangu ya drip

Hahahahaha!!!!Duh!!Makubwa,,,,,,,ndo basi tena mkuu yaani kama aliondoka na mavuzi yako,hapo jua moja tu kuwa ndo mke
 
huyu bujibuji nasikia ni mwanamke, sasa naona anatoa story kama yeye ni mwanaume, au ni msiginaji
 
Hahahaaaaaaa nimecheka hadi kupaliwa loooo aiseee kuna vituko dunia hii huyu dada kaniacha hoi
 
Kwani wewe leo ndiyo mara ya kwanza kwa uongo acha habari zako bana za kutunga uongo hapa.
 
Madame B nahitaji msaada wako
Kaka mi nakujua we muongo bana unakumbuka siku ile umetudanganya eti umekuta sms ya mapenzi kwa mke wako halafu baada ya siku chache tena ukajishu ukasema huna mke tukuelewaje sasa.
 
Kaka mi nakujua we muongo bana unakumbuka siku ile umetudanganya eti umekuta sms ya mapenzi kwa mke wako halafu baada ya siku chache tena ukajishu ukasema huna mke tukuelewaje sasa.
Elewa tu hata kwa njia ndefu, wakati mwingine ni mapepo wachafu tu hunipelekesha
 
ha ha ha ha LOL mwambie asikilize huu wimbo hapa chini

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom