Ukiniacha Nakuloga

Ukiniacha Nakuloga

Hahaa a aha h aha ha ha aha a ha ah aahah
dawa yake ndogo sana, ni PM nikupe
 
kwahyo ulvyostuka tu ukakumbuka JF kuandika thread.... mweh
 
avatar13443_10.gif
avatar32753_3.gif

Bujibuji i salute you
 
Yaani sijui nilizimia sijui nilizirai, sijui nilipoteza fahamu, sijui nilikaribia kufa!!! yaani sielewielewi

Ka test hiyo mashine kwenye mgodi mwingine...................

Si ajabu umemalizwa mazima.................. isije ikawa kitu kinasinyaa kwa wengine (hii ni inapatikana zaidi kanda ya ziwa)
 
Mapenzi yananitia wazimu.

Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.

Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua kifaa na kuanza kunipunguza nyasi, maana nilikuwa na bonge la msitu.

Tukarudi ulingoni kwa nguvu na kasi mpya kuliko ile ya mwanzoni.

Kuja kutahamaki ni asubuhi, nikajiandaa fasta na kuelekea kazini, nikamdrop yule binti mitaa jirani na kwao kisha tukaagana.
Nikiwa kwenye mapumziko ya chakula cha mchana nikapokea simu kutoka kwa yule binti, "ahhh nimezimika na game lako, sitaki kukupoteza, hakika nimepata mume wa ndoto zangu".

Nikamjibu kirahisi tu kwa lugha ya nyumba, sahau....it was just a one night stand.

Binti akang'aka, "Unasemaje?

Nikamjibu hatuwezi kuoana, yaani tumeonna hata mwezi hatuna halafu leo iwe ndoa?
Akanijibu.

"Kwa taarifa yako yale mavuzi yako ninayo, na ukiniacha nitakuroga"

Saa hizi ndio nazinduka najikuta niko hospitali na chupa yangu ya drip

Bora ungekufa tu nirithi mpododo huo
 
hakuna cha kurogwa wala nini apo..we potezea tu....kila mtu anamalaika mlinzi wake ......ila na ww acha kucukuachukua one night bhana aaaaahhhh
 
Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.

Hizi ni hekaya na ngano za Bujibuji , zisikutoe povu. Just have one fat laugh!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yananitia
wazimu.

Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu
ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.

Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua kifaa na kuanza
kunipunguza nyasi, maana nilikuwa na bonge la msitu.

Tukarudi ulingoni kwa nguvu na kasi mpya kuliko ile ya mwanzoni.

Kuja kutahamaki ni asubuhi, nikajiandaa fasta na kuelekea kazini,
nikamdrop yule binti mitaa jirani na kwao kisha tukaagana.
Nikiwa kwenye mapumziko ya chakula cha mchana nikapokea simu kutoka kwa
yule binti, "ahhh nimezimika na game lako, sitaki kukupoteza, hakika
nimepata mume wa ndoto zangu".

Nikamjibu kirahisi tu kwa lugha ya nyumba, sahau....it was just a one
night stand.

Binti akang'aka, "Unasemaje?

Nikamjibu hatuwezi kuoana, yaani tumeonna hata mwezi hatuna halafu leo
iwe ndoa?
Akanijibu.

"Kwa taarifa yako yale mav*******z yako ninayo, na ukiniacha nitakuroga"

Saa hizi ndio nazinduka najikuta niko hospitali na chupa yangu ya drip

watu wana moyo mm kuona vuzi tu hutojua nimepita wap hata makwapan la sivo utaona natapika. ivi mtu utamalizaje wiki hujanyoa? ishiiiiiiiii
 
hehehehehehehe mmezidi na hiyo SAFISHA RUNGU YENU....Boooraaa

Mapenzi yananitia wazimu.

Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.

Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua kifaa na kuanza kunipunguza nyasi, maana nilikuwa na bonge la msitu.

Tukarudi ulingoni kwa nguvu na kasi mpya kuliko ile ya mwanzoni.

Kuja kutahamaki ni asubuhi, nikajiandaa fasta na kuelekea kazini, nikamdrop yule binti mitaa jirani na kwao kisha tukaagana.
Nikiwa kwenye mapumziko ya chakula cha mchana nikapokea simu kutoka kwa yule binti, "ahhh nimezimika na game lako, sitaki kukupoteza, hakika nimepata mume wa ndoto zangu".

Nikamjibu kirahisi tu kwa lugha ya nyumba, sahau....it was just a one night stand.

Binti akang'aka, "Unasemaje?

Nikamjibu hatuwezi kuoana, yaani tumeonna hata mwezi hatuna halafu leo iwe ndoa?
Akanijibu.

"Kwa taarifa yako yale mav*******z yako ninayo, na ukiniacha nitakuroga"

Saa hizi ndio nazinduka najikuta niko hospitali na chupa yangu ya drip
 
kashamba kasingekunyoa msitu,unamdharau mtu kumbe mshamba zaid yake ,hiyo mivuz ulifikiria sifa au ulitka tuzo,umethihirisha uchafu wako acha akuloge
 
Back
Top Bottom