Ukimzalisha mpangaji wako,je.......?

Ukimzalisha mpangaji wako,je.......?

Ndio!! kwani akiwaambia watu au ustawi wa jamii kuwa umemuoa na uliahidi kumkabidhi nyumba endapo akikuzalia na ushahidi wa watoto ukawepo na akadhibitisha kuwa ummembadirikia baada ya kumharibia maisha pia unataka kumfukuza akiwa na watoto wako ambao haelewi ataenda kuishi nao wapi. utajitetea vipi mkuu.
Mimi sipo tayari nimeaga dunia,Sasa yeye anagoma kulipa kodi ya nyumba kwa mke wangu na watoto kwasababu mimi nilikuwa sichukui kodi kwake kwakuwa nilikuwa nilizaa naye,na nilizaa naye kwa Siri mke na watoto wangu hawakukujua lolote
 
Uzuri wa siku hizi kuna DNA testing. Wanachukuliwa watoto wa pande zote wanapimwa kisha hao watoto wa mpangaji wanapokea sehemu ya mirathi. Wazo kuu ni lilelile alinioa sikuwa mpangaji, alinikabidhi hii nyumba na nimezaa naye watoto wawili wanaofanana ndonga na watoto wa bi mkubwa. Bi mkubwa atakufa kwa pressure nakwambia na kama umezaa naye watoto wawili ni ndoa ya zaidi ya miaka 4 hata kama mke alikuwa hajui ni uzembe wake. Anashindwaje kujua mbaya wake mpaka azae watoto wawili ndani ya nyumba yake?
 
huyo ni mke halali wa marehemu, ila kama mke mkuu na wanawe hawajui, kuna kazi kulidhibitisha hilo.....jipange tuu safari za mahakamani....
 
Mimi sipo tayari nimeaga dunia,Sasa yeye anagoma kulipa kodi ya nyumba kwa mke wangu na watoto kwasababu mimi nilikuwa sichukui kodi kwake kwakuwa nilikuwa nilizaa naye,na nilizaa naye kwa Siri mke na watoto wangu hawakukujua lolote
na kama umekufa,,,,endelea na maisha yako ya kuzimu....ya duniani tuachie...agome tuu...ngoja waamue kuiuza....
 
Uzuri wa siku hizi kuna DNA testing. Wanachukuliwa watoto wa pande zote wanapimwa kisha hao watoto wa mpangaji wanapokea sehemu ya mirathi. Wazo kuu ni lilelile alinioa sikuwa mpangaji, alinikabidhi hii nyumba na nimezaa naye watoto wawili wanaofanana ndonga na watoto wa bi mkubwa. Bi mkubwa atakufa kwa pressure nakwambia na kama umezaa naye watoto wawili ni ndoa ya zaidi ya miaka 4 hata kama mke alikuwa hajui ni uzembe wake. Anashindwaje kujua mbaya wake mpaka azae watoto wawili ndani ya nyumba yake?
Utakuta marehemu alikuwa na nyumba ya kupangisha mbali ya nyumba anayoishi na mkewe, kwahiyo kujua kinachoendelea ni vigumu sana na mazingira ya kazi ya mwanaume yanamruhusu hata kulala nje wiki au hata mwezi
 
Back
Top Bottom