HahahaaaNasikia walikuwa wanalitafutia Wife Mwanza??!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

HahahaaaaLile dege kuliendesha safari fupi ni sawa kuendesha Yu Tong kimara -Ubungo
Kwi! Kwi! Kwi!Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Biashara bila mikakati ni ulimbukeki mbwembwe zote kwisha hata ile safari za kwanza walikua ni makada walioambiwa wavae kiraia waende mwanza!!!! Na kurudi mbio za sakafunihuishia ukingoniMwenye shida hufuata mganga
Hapa aibu kama ya makinikia subiri muda huzungumzaUnataka kila siku upewe habari kwani hatuna kazi nyingine za kufanya?!!..kama unataka habari nenda kapande utazikuta huko
Tafakari[emoji848][emoji144]Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lile dege kuliendesha safari fupi ni sawa kuendesha Yu Tong kimara -Ubungo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dirimliner likitoka tu nje ya Afrika linakamatwa
Kama WiFi anasumbua watumie shemejiinawezekana wifi imesumbua tena mkuu
Tembelea mara kwa mara Websight ya ATCL utapata Update zote.Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Kwa hio wakati wanavunja mikataba au wanafaanya madudu tulikuwa nao?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu kwani wewe sio mtanzania?
Kama unataka ku kwea Dramliner kwasasa Fanya booking ya Mumbai sio Mwanza.Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
White elephantWakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
kibendera fata upepoSina hakika kama unaifahamu vyema tafsiri ya neno maendeleo