Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Kupeleka abiria na kuleta wataliiiiMatibabu ama?
Kupeleka abiria na kuleta wataliiiiMatibabu ama?
Sina hakika kama unaifahamu vyema tafsiri ya neno maendeleoLitakua limeshakufa kopo bovu lile,jiwe badala ya kuleta maendeleo ananunua ndege ,ushamba mwingine bwana
AiseeKitaa jirani asipotoka ndani kwa takriban masaa 24 huwa tunavunja mlango.
Ili tumuokoe au tumzike asije akatunukia!!Aisee
Wewe unajua kitu gani zaidi ya kuwa kama benderaSina hakika kama unaifahamu vyema tafsiri ya neno maendeleo
Nje ya Afrika masharikiDirimliner likitoka tu nje ya Afrika linakamatwa
Dirimliner likitoka tu nje ya Afrika linakamatwa
Tochi, Tochi....over speedKwanini mkuu?
Lilikuja na mimba kubwa mkuu,Aise,, Juzi tu unajua Mkuu ,
Umesahau na speed GovernorTochi, Tochi....over speed
Imeenda kutibiwa mapafu Mumbai, itarudi ikishapona.Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Nasikia walikuwa wanalitafutia Wife Mwanza??!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili limwewe litakuwa limelazwa pale Muhimbili kwani limekuja na magonjwa kibao. Likipata nafuu utajulishwa.
Mwewe lazima kuna kitu anaumwa si bure.