Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Kwani muhimbili na mroganzira hakuna madaktari bingwa ?Mwewe kaenda kutibiwa india!!
Kwani muhimbili na mroganzira hakuna madaktari bingwa ?Mwewe kaenda kutibiwa india!!
Hata TIIIARAEII hatuwaoni siku hiziKabla ya kuuliza hilo, hivi hujiuulizi mbona hakuna tena zile blah blah za makinikia?
Hakuna tena updates za mazungumzo, kulipwa matrilioni ya kuweza kununua Noah zetu, hakuna kishika uchumba wala hatma ya makontena.
Kitu imesha back fire...
Mwewe mtata!Kwani muhimbili na mroganzira hakuna madaktari bingwa ?
Kwanini mkuu?Dirimliner likitoka tu nje ya Afrika linakamatwa
Mkuu hujui ile sheria imepitishwa kule kwa kina kibajaj?Mwewe mtata!
Unataka kila siku upewe habari kwani hatuna kazi nyingine za kufanya?!!..kama unataka habari nenda kapande utazikuta huko
Labda Mumbai ya Chato. Dreamliner ikitatiza Mumbai ya India tu inakamatwa. Nchi sasa inadaiwa mpaka na familia binafsi iliyoshinda kesi huko Marekani juzi!!!! Achilia mbali Escrow iliyoibuliwa tena juzikati wakati fedha za kulipa mmegawana lumbesa! Tutaishia tu kununua madiwani!Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Ok!Mkuu hujui ile sheria imepitishwa kule kwa kina kibajaj?
NdiyoooooooOk!
Wana nia nisiongee au?
Sasa nikitakiwa kulitaja chama lao itakuwaje?Ndiyooooooo
Kitaa jirani asipotoka ndani kwa takriban masaa 24 huwa tunavunja mlango.Mkuu una Maana Mwewe yu Taabani sio ?
LisisiyemuuuSasa nikitakiwa kulitaja chama lao itakuwaje?
linawatesa na kiroho piaBado ni siri, na atakayetoa siri atatumbuliwa faster.
Lile dege ni pasua kichwa, wakubwa wa ATCL hawalali, linawatesa kimwili na kiakili, kwa sababu kichaa anategemea apewe good feedback kutoka kwa wahusika, lakini hali ya mambo ni ngumu kupita maelezo.
Soon jipu litapasua.
Tujipe muda.
Lete Habari inaonekana kuna unalolijua....Wameruka ruka wee.. Lakini deni bado lipo pale pale. IATA wamewakalia kooni..
Matibabu ama?Hapana labda itakuwa ishaanza kwenda huko