Ukimya wa Safari za Dreamliner

Ukimya wa Safari za Dreamliner

Wewe, watu wanaofuatilia hayo ni wale wanaokwenda kuipanda.
Wewe kama una shida nayo si ufunguwe link ya ATCL?

Mimi ninachojua leo habari mpya ni hotel ya aishi inayomolikiwa na Freeman mbowe. Kule machame moshi kukutwa ikiwa imejiunganishia imeme wa wizi toka tanesco Kilimanjaro.
 
Hivi jamani ni kwanini baadhi yetu hatupendi kuiona nchi yetu ikipiga hatua? ... Ndege ni mali yetu kuombea ATCL isifanikiwe ni aibu kwetu sote jamani. Dreamliner hii hapa sasa hivi inarudi kutoka Mwanza pamoja na Bombardier mbili pembeni yake.www.flightradar24.com/TC111/-6.88,39.2
 
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?

Kuna ka habari haka mkuu hebu kapitie uone ugumu wa kuendesha mashirika ya ndege ya serikali, Etihad soon anauzwa kwa Emirates.


https://www.forbes.com/sites/michae...-money-losing-national-airlines/#70c20941798c
 
Wakuu Amani iwe nanyi

Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...

Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Kama wewe si msafiri wa trip za Kia na Mwanza huwezi jua
pitia kwenye mtandao wao utakuta kule lini wanaanza kwenda Bombay
 
Kama wewe si msafiri wa trip za Kia na Mwanza huwezi jua
pitia kwenye mtandao wao utakuta kule lini wanaanza kwenda Bombay
Akili za Nyumbu hizi
 
Back
Top Bottom