Hiyo percentage ya ushindi inaongezeka wapi na nani anaiongeza? Hivi nyie siku Lowasa akitemwa kama alivyotemwa uwaziri Mkuu mtakimbilia wapi?Na mzidi kubaki hivyo hivyo kuwa kakata tamaa wakati kila kukicha percentage ya ushindi unaongezeka, hahahha vijana wa WAMA mnachekesha sana
Kuna ripoti ya Madaktari wanaomtibu ambayo inaonesha kuwa Lowasa hawezi hata kukimbia mita 10
Hiyo percentage ya ushindi inaongezeka wapi na nani anaiongeza? Hivi nyie siku Lowasa akitemwa kama alivyotemwa uwaziri Mkuu mtakimbilia wapi?
Hahahahahaaaaa! Unafikiri miaka 10 ya urais ni kazi ndogo? Na yule boss wenu Slaa aliyeanguka bafuni mpaka sasa kabaki kilema! Na huyu boss wenu mwingine anayefanya mazoezi huku Ambulance ikifuata kwa nyuma!Mbona JK wako anaanguka anguka kiasi kwamba nyuma yake wanasimama mabouncer wawili na kila aendapo anasindikizwa na ambulance?
CCM ni mzazi wa kweli. Hatupi mtoto wake hata kama ana maudhi kupindukiaTutakimbilia CCM
Mwambie mumeo Chabruma atuletee uzushi wa lowassa na ApsonHiyo percentage ya ushindi inaongezeka wapi na nani anaiongeza? Hivi nyie siku Lowasa akitemwa kama alivyotemwa uwaziri Mkuu mtakimbilia wapi?
Mbona uwanja wa taifa wakati wa mechi kunakuwa na Ambulance inamaana hao wachezaji wanakuwa wanaumwa wewe mama ElizaboniHahahahahaaaaa! Unafikiri miaka 10 ya urais ni kazi ndogo? Na yule boss wenu Slaa aliyeanguka bafuni mpaka sasa kabaki kilema! Na huyu boss wenu mwingine anayefanya mazoezi huku Ambulance ikifuata kwa nyuma!
CCM ni mzazi wa kweli. Hatupi mtoto wake hata kama ana maudhi kupindukia
Hahahaha swali zuri sana hata msafara wa mkulu ambulance mbili hazikosekani!! Na hiyo ambulance anayosema ikwapi hapo?Mbona uwanja wa taifa wakati wa mechi kunakuwa na Ambulance inamaana hao wachezaji wanakuwa wanaumwa wewe mama Elizaboni
Hahahahaha mkuu hili kundi la Membe na Sita wanaongoza kwa kutoa kabang na wakichukua nchi watatuletea ushonga kabisa kamwe watanzania tusikubali ushonga hata kidogo na njia ya kukataa ushoga ni kumkataa Membe na kundi lake wakiongozwa na waziri mkuu wake nyalandu aka nyama ya charles dunkenMwambie mumeo Chabruma atuletee uzushi wa lowassa na Apson
Fisadi Lowasa ni janga la taifa
Kwani wewe unamfikiria nani sasa?Hata Membe naye ni wale wale tu. hawa wameanzisha siasa za makundi ambazo hazina tija ndani ya chama chetu na Watanzania kwa ujumla
Ha ha ha haaah!! Naye ni dhaifu?Membe akawe rais wa WAMA mama salma akistafu, nani ampe huyo mtu dhaifu urais?
Ulivyo comment ni dhahiri kabisa imeonyesha upeo wako wa kufikiri ulivyo mdogo rudi shuleeeAnatumia wafuasi wake na misukule yake kumjibia/kumpigania.
Ha ha ha haaah!! Naye ni dhaifu?
Kasema ukweli ndo maana wewe na kundi lako mnakesha humu kumtetea fisadi LowasaUlivyo comment ni dhahiri kabisa imeonyesha upeo wako wa kufikiri ulivyo mdogo rudi shuleee
Kasema ukweli ndo maana wewe na kundi lako mnakesha humu kumtetea fisadi Lowasa
yes umefikiria mbali sana, there must be something very great behind the scene,,,lets take care on this guy.