Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,760
Wakati Makonda na Amon Mpanju wakiendelea kujisafisha kwenye media kwa vurugu walizofanya.kwanini jaji Warioba amegoma kuzungumza na media kuhusu tukio hili.

Unataka aongee nini sasa!
kwan makonda na mpanju wanaongea nn
Warioba amekataa kushiriki upuuzi unaosambazwa na UKAWA kuwa alipigwa na Makonda.
Ukimwona Nyani mzee jua amekwepa mishale mingi.
Kwahiyo Warioba ni nyani?
Kwahiyo Warioba ni nyani?
Tarehe 16 tunawasubiri waji.nga kama ww!Warioba amekataa kushiriki upuuzi unaosambazwa na UKAWA kuwa alipigwa na Makonda.