Ukimya wa jaji Warioba unamaanisha nini?

Ukimya wa jaji Warioba unamaanisha nini?

Ujinga wake hausababishwi na ulemavu wake hata kidogo
Na kwa taarifa tu...wewe unaona ni mlemavu lakini kwa ulemavu huo huo Mpanju amesaliti walemavu wa nchi hii tena wenye shida kuliko yeye
Watu masiki kuliko yeye wa nchi hii kawasaliti halafu unaleta huruma za kizamani ni upuuzi tu!!!

Mkuu huyo kipofu hapo alipo anasubiri kuteuliwa, amewakosesha haki walemavu ya kuchaguana wawakilishi wao bungeni badala yake kila kitu kamkabidhi rais ndiye awe mteuzi! Ingawaje haki nyingine ni ACT of GOD lakini kwa hilo hakuna msamahama
 
Mnataka aongee nini? au yeye pia afanane na watoto wanaotumwa na wakubwa wao. Yeye anatumwa na dhamira na uzalendo wake kwa taia.Wanaokimbilia kwenye media wana mashaka na dhamira zao kama zimetafsiriwa ndivyo au la wasijekosa maisha
 
Hao wenzake hawakushikiri kukusanya maoni ya wananchi !. Yeye alishiriki tena ndiye aliyeongoza tume, hivyo kwa mtu yeyote mwadilifu katika position hiyo anakuwa na wajibu wa kuweka sawa mambo yaliyopotoshwa !

By the way ni haki yake kikatiba kufanya hivyo akitaka kufanya hivyo na wengine wana haki ya kumsikiliza wakitaka kufanya hivyo !. Hao wengine hawalazimishwi kusema na nyie wengine hamlazimishwi kumsikiliza Warioba !. Yeye ameamua kutoa elimu na kuna watu kama sisi tunaotaka kupata hiyo elimu.......hajavunja sheria za nchi....

Ninyi kinawauma nini ?

Taifa lake!? mbona unachekesha! ye alishalitumikia kama pm na akamaliza muda wake salama. Kama angekuwa anataka hizo serikali 3, alikuwa na nafasi nzuri ya kumwambia rais wapeleke muswada bungeni wakati ule ule akiwa madarakani na ungekuwa na nguvu sana. Mbona hakuongea? kiufupi,apumzike tu asikoroge watu aingie matatizoni buree, mbona wenzake waliokuwa mawaziri wakuu na marais wastaafu hawana vurugu! ye ametumwa!?
 
Kweli ujinga ni mzigo mkubwa! hivi wewe unakiwango gani cha Elimu? Hivi kweli hao CCM unadhani wanafurahishwa na huu ujinga wako? au wewe ni mke kapten wa kimagumashi John Komba?
 
Jamani acheni kumsarandia mzee wa watu ngoja awe kimya hivyohivyo hamjui ladba anatunga sheria
 
Wakati Makonda na Amon Mpanju wakiendelea kujisafisha kwenye media kwa vurugu walizofanya.kwanini jaji Warioba amegoma kuzungumza na media kuhusu tukio hili.

Waingereza wana msemo unasema "Don't argue with a fool"
na hicho ndicho anachokitekeleza Warioba hawezi ku argue na Makonda.
 
Taifa lake!? mbona unachekesha! ye alishalitumikia kama pm na akamaliza muda wake salama. Kama angekuwa anataka hizo serikali 3, alikuwa na nafasi nzuri ya kumwambia rais wapeleke muswada bungeni wakati ule ule akiwa madarakani na ungekuwa na nguvu sana. Mbona hakuongea? kiufupi,apumzike tu asikoroge watu aingie matatizoni buree, mbona wenzake waliokuwa mawaziri wakuu na marais wastaafu hawana vurugu! ye ametumwa!?

sijaelewa unachomaanisha,unataka kuniambia kwamba mtu asipokuwa pm haruhusiwi kuizungumzia kaiba au niupeo wako tu ndio ulipoishia?
 
Warioba amekataa kushiriki upuuzi unaosambazwa na UKAWA kuwa alipigwa na Makonda.

wewe mama Mingoi pukuza shobo kwa ukawa manake naona moja haikai wala mbili haisomeki
 
Last edited by a moderator:
Warioba amekataa kushiriki upuuzi unaosambazwa na UKAWA kuwa alipigwa na Makonda.

wewe mama Mingoi pukuza shobo kwa ukawa manake naona moja haikai wala mbili haisomeki
 
Last edited by a moderator:
Fisiem mmetuma vijana wapate laana kwa kupiga waze wakati nyie ndio mshaaga ikulu? Wakiwa machizi nani atawahudumia? Maana mwaka huu haushi bila makonda kuwa chiz
 
Anajua kapigwa na wana ccm wenzake sasa akisema atakuwa anakisaliti chama chake!!!
 
Usiogope ndugu! Huitaji degree kumuelewa jaji Warioba. Hivyo basi karibu kwenye Mdahalo Tar.16.11.2014 upate misumari ya jaji anayejitambua upate ukombozi

images

Nampenda Warioba kuliko Nyerere kwa sababu Warioba anawapa za chembe na za usawa wa moyo bila kuwaangalia sura zao kwani hana cha kupoteza ndani ya chama na inje ya chama chao, Nyerere yeye enzi zake alikuwa anapindishapindisha weee kuokoa chama chake..anyway mzee wetu Warioba kajitolea kutuokoa sie wanyonge na vizazi vyetu inabidi tumuunge mkono kwa hali na mali bila kujali genge la mafisadi, maharamia na wabakaji wa Demokrasia yetu

Wameshindwa kujitoa magamba ndani ya chama chao na sasa Mzee Warioba anawasaidia kupitia katiba mpya eti na hiyo njia hawataki

images

Kumtuma kwa wanaichi wamtume wenyewe ...kumtukana Bungeni wamtukane wenyewe, sasa wamepandisha mnkari wake, na toka mwanzoni alishasema anawasubiria watoke Bungeni waje huku uswahilini watoe hoja na sio vibweka vile vya kukata viuno Bungeni

images
 
Back
Top Bottom