Hujafa hujaumbika, acha kumdhihaki mlemavu wa macho kwa upofu wake, huijui kesho.
Kwahiyo Warioba ni nyani?
Uzee nao unachangia.. Warioba apunzike sasa.
We mwenye uelewa wa takwimu ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo, bora nibaki hivi hivi.Sina cha kujifunza kutoka kwako.
Ujinga wake hausababishwi na ulemavu wake hata kidogo
Na kwa taarifa tu...wewe unaona ni mlemavu lakini kwa ulemavu huo huo Mpanju amesaliti walemavu wa nchi hii tena wenye shida kuliko yeye
Watu masiki kuliko yeye wa nchi hii kawasaliti halafu unaleta huruma za kizamani ni upuuzi tu!!!
mkuu umeishiw na hoja! jenga hoja zenye mashikoAcha ujinga wewe. Eti unajifanya unauchungu na nchi wakati hapo umeshika laptop unakula hela za mafisadi Mbowe na Slaa. Unajifanya kama vile umejiumba na kujiamini punguani we.
when you ar died you can`t know that you ar died it is very difficult for the others,the same when you ar STUPID
mkuu umeishiw na hoja! jenga hoja zenye mashiko
poor english!
sema tu umexhindwa kutafsiri mkuu,ila usihofu utaelewa baadae
Ukiona dume zima linaandika sms halafu kwenye "s" anaweka "x", inabidi tujiulize mara 2, huenda ni punga.
fikra chakavu zinakusumbua! nenda kweny mada husika
Mzee kama warioba hawezi kupoteza muda wake akiongea ongea ovyo tena kuhusu ujinga kama ule wa yule Konda na mwenzie Pofu
Weukitaka kujuwa mzee anaongea karibu tena ubungo plaza tarehe 16 hapo ndio utajuwa tofauti ya mpiga kelele kama makonda na muongeaji kama mzee!!!
kapumzike uwezo wako ndo umeishia hapoMada gani! mi nimeshasema hapo mwanzo na ndio hivyo nimemaliza. Alikuwa PM,alikuwa na nafasi ya kuleta serikali 3 kwa wakati wake hakufanya hivyo. basi. sina zaidi.
Acha ujinga wewe. Eti unajifanya unauchungu na nchi wakati hapo umeshika laptop unakula hela za mafisadi Mbowe na Slaa. Unajifanya kama vile umejiumba na kujiamini punguani we.