Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Uzee nao unachangia.. Warioba apunzike sasa.
apumzike nini?ashindwe kutetea taifa lake kwa kisingizio chepesi kama hicho?think twice kaka.
Uzee nao unachangia.. Warioba apunzike sasa.
Warioba aeleze wazi kina nani wanatakiwa kuhudhuria,tena ikibidi waandae kadi za mialiko vinginevyo mtalaumiana tu.
kuna nn kimejifich kwa ukimy huu wa jaji Warioba
Warioba amekataa kushiriki upuuzi unaosambazwa na UKAWA kuwa alipigwa na Makonda.
Unataka aongee nini sasa!
Uzee nao unachangia.. Warioba apunzike sasa.
Kwahiyo Warioba ni nyani?
Rudi tena darasani.
apumzike nini?ashindwe kutetea taifa lake kwa kisingizio chepesi kama hicho?think twice kaka.
...ametumia ile busara ya "mwehu akichukua nguo zako ukiwa mtoni unaoga na kukimbia nazo mwache usimkimbize"...
Taifa lake!? mbona unachekesha! ye alishalitumikia kama pm na akamaliza muda wake salama. Kama angekuwa anataka hizo serikali 3, alikuwa na nafasi nzuri ya kumwambia rais wapeleke muswada bungeni wakati ule ule akiwa madarakani na ungekuwa na nguvu sana. Mbona hakuongea? kiufupi,apumzike tu asikoroge watu aingie matatizoni buree, mbona wenzake waliokuwa mawaziri wakuu na marais wastaafu hawana vurugu! ye ametumwa!?
yy ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba na ndiye aliyechukua maoni ya watanzania kwa hiyo anahaki na wajibu ya kuwaelezea watanzania jinsi gani BMK lilivyofanya uharamia kwenye maoni ya wananchi
Umeshuhudia mara kadhaa Warioba anakiri kwamba maoni ya wananchi waliotaka serikali3 ni asilimia ndogo sana kuliko wanaotaka mfumo huu uendelee, cha ajabu anakomalia kwamba hayo ndio maoni ya wananchi wote! huu ni upotoshaji mkubwa! naona anazeeka vibaya.

Jenga hoja kinzani neno kuzeeka vibaya, halina afya wala mashiko kuishawishi hoja yako ipite are you there !
Mzee kama warioba hawezi kupoteza muda wake akiongea ongea ovyo tena kuhusu ujinga kama ule wa yule Konda na mwenzie Pofu
Weukitaka kujuwa mzee anaongea karibu tena ubungo plaza tarehe 16 hapo ndio utajuwa tofauti ya mpiga kelele kama makonda na muongeaji kama mzee!!!
hunauelewa wa STATISTICS mkuu... ndio maan unapata shida