ukimwona mwanaume..

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
ukimwona mwanaume kafunga kanga ya mama yako...jua huyo ndo babako!!
 
ukimwona mwanaume kafunga kanga ya mama yako...jua huyo ndo babako!!
Utajuaje ni ya mama yako?khanga si zinafanana?Kiwanda kikubwa cha nguo kwa siku kinazalisha mita lakimoja(MT100,000) Za khanga za rangi sawa na zinazofanana ambazo ni sawa na pair 30,000.Kwa hiyo kujua ya mama yako ni kazi kweli kweli labda uwikee stika maalum..teeeehh
 
duh kwe kwe kwe kwee.............................!!! bangi imezidi hapa
 
Na kweli, kuna uwezekana mwanaume mmoja akawa baba yetu woooteeee ambao mama zetu wanavaa kanga zinazofanana
 
mkiniona nnevaa khanga zenu msishangae, eeh, mjue ndo vile tena, eeh. aah nini, ndiyo hivyo hivyo.
 
lol! sijui umefikiria nini? ila hata wa kambo si ni baba? tutaacha kuwaita 'uncle'
 
Kwa hali ya hewa hii, ukipata cha msumbiji lazima uanze kuwaza mambo yasiyowazika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…