UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Nashindwa kuelewa clinic wanakuja kujua mama ana ukimwi miezi 7 baada ya kujifungua

Na wakati kipindi cha mimba unaanza clinic mke na mume au wachumba mnatakiwa kwenda clinic kupima HIV wote
 
Nakazia
 
Nilikuwa na demu nimekula peku sana niliambia ana ngoma kila nikipima nasubiri miezi 2 naenda kupima tena leo ndio ya mwisho sipimi tena itakuwa nipo poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CD4 zipo vzr japo hataki kuanza dawa na hajajikubali kwasababu hakutegemea kama jambo hili halijatoka kwangu, bado ni changamoto japo ni miaka 5 sasa
Mkuu unamaanisha hili liligundulika maka 5 iliyopita na mkeo hajaanza dawa za ARV?
 
Ameen mkuu
 
Utaifurahisha jamii kwa story za maradhi? Waliosoma vema kwa utulivu wameelewa, endapo haukuelewa uandishi wangu ungeuliza au kutazama maswali ya kundi lililoelewa na namna ninavyojibu bila shaka ungepata majibu. mimi si mzuri katika uandishi. asante
Nimesoma comments zake zote jamaa anajichanganya Sana ni stori tu aliyoamua kuja kuifuraisha JF.

Ulichouliza ndicho kilichomuumbua, mjamzito akishafungua kadi hapo hapo wanampima HIV.
 
Sidhani kama kuna lolote, kwasababu kama malaria napata, flue napata, typhoid pia napata hivyo sioni kama kuna kinga yoyote ya tofauti.
Group O lina siri gani kwenye suala hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…