UKIMWI unavyotafuna vijana

Kumbuka zinatoka kwa mabeberu hao mnaowaimba kila siku. Wakikata mirija mtafanyaje?
 
Au unapata ajali unakufa. Hakuna tofauti. Bora tusisome tu . Si ndio?
 
....siku dawa ikipatikana nitaenda kupima lakini hii yakwenda kupima nikaanza kuishi kwa kubeti mda hapana
Na mm nishasema hivyo na hata nikienda kufunga ndoa kanisani wakataka wanilazimeshe nipime kwanza nitaachana na huo mpango wa ndoa.Sitaki stress mimi kama ni kufa kupo tu kwa nini uanze kuishi kwa mashaka.
 
Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.

Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Misimamo Kama huu ndiyo insababisha ukimwi uenee ktk jamii yetu. Kwa nini tunaficha huu ugonjwa ? Kunafaida gani tunapata tunapo ustili huu ugonjwa !
 
Siri nzito inayopelekea UKIMWI kutmalaki ni jambo moja tu, with kutangaza ugonjwa tofauti hasa wakati wa kusoma historia ya maremu, tungetangaza kuwa marehemu kaondoka na ngwengwe mke na michepuko yake isingeguswa na HIV -ve, TUPIMWE WOTE KISHA ATAKAEKUTWA POZITIVU APIGWE CHAPA KWENYE TAKO NA ITANGAZWE ILI KILA ATAKAEKUWAA MIADI KABLA YA KUTUMBUKIZA MBOYOGO a.k.MKUYENGE NI LAZIMA TUCHUGULIANE MAKALIONI
 
Nenda kahakiki tena mara ya tatu..
 
Au unapata ajali unakufa. Hakuna tofauti. Bora tusisome tu . Si ndio?
soma kwa malengo tunza akili na afya yako, acha tamaa usikubali mwili uongoze ubongo wako bali ubongo ujuayo mema na mabaya ndio ukuongoze. Taifa linakutegemea , na familia yako inakutegemea vilevile. Kumbuka ulipotoka na jione wewe ndio wa kuweza kufanya mabadiliko... kama utasoma kabla hata hujaaanza kunufaika na elimu yako unaanza kuugua na wazazi wanaanza kukulea tena na uzee wao badala wewe uwatunze ... wanaanza kuuza kila kitu kukununulia madaya yafaa nini?
 
itoshe tu kusema kuna ka pepo ka ukimwi kanazengea ukoo wenu.hakako mbali mkuu endelea kujitahid kuwa unaangalia huku na huko kabla hujafanya maamuzi yoyote.
 
Ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.
 
Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Huyo dada wa cheka mbona mdogo jamani
 
Badili avatar yako, ili uendane na story yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…