witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Ebwanaaa eeh....wakati bongo akijua anao inakuwa siri na ni mwendo wa kutandaza nyaya tu ili kila mtu nyumba ake iwe na UMEME!...Yaa yani ukimwi kwao ni kama ugonjwa wa kawaida tu hauwatii stress kama sisi
MTU anakwambia Leo siko sawa washkaji nimetoka kupima nimekutwa na ngoma
Dem wangu hajatulia atakuwa ndio kaniambukiza we unashangaa unaona huyu jamaa Yuko serious au anatania lakini ndio hivyo

