Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,421
- 7,877
Itakua warembo sanaFAFANUA HAPA KWANINI UJISAHAHU kwa wanawake wa huko? fafanua mkuu...
Itakua warembo sanaFAFANUA HAPA KWANINI UJISAHAHU kwa wanawake wa huko? fafanua mkuu...

homa ini usisahau inakuja kwa kasiWhat's threats today's world is Cancer, AIDS is just a pinch...
Mkuu una uhakika na hili? Hebu rudia desa kidogo!Marekani,Afrika Kusini,India ndio kinala was ukimwi duniani
Nina uhakika mkuu in baadhi ya nchi ziko top 10 ya ukwimiMkuu una uhakika na hili? Hebu rudia desa kidogo!
Be serious!! AIDS kills.What's threats today's world is Cancer, AIDS is just a pinch...
Mkuu wanawake Wa huku tofauti Sana na wakwetu tz unaweza jisahau ukaweka peku
Upo sahihi mkuu ndio maana nimesema unaweza usivae hata kinga maana wanawake wazuri bei cheeMwanangu usishobokee demu wa kisouth ni kwere
Sijawahi kuona mademu warahisi kama wa kisouth ukikataliwa na demu wa kisouth basi hata mungu atakukataa
Ukienda joberg kwa mademu wa kizulu hawa ukitongoza unajichukulia goma hata 10 kwa mpigo
Ukienda cape town kwa hawa africano same thing warahisi pia mitaa ya manenberg parrow belhar kote western cape eastern cape nk nk mademu wakali sana hawa na warahisi mno
Mie cape town na joberg nimewasoma sana mademu wa huko wapo easy mno na wanapenda sana ngono
Be carefull kijana south kuna ukimwi kweli na mademu zao wapo cheap
Labda kidogo ukienda kwazulu natal umhlanga mitaa ya phoenix unit 14 16 nk kwa wahindi na wazungu ndio kidogo mademu wa huko vigumu kuwapata na huenda rate ya hiv ikawa chini uko
Ila hawa zulu people na africano hehehe na walivyo wazuri na misambwanda ni kwere
Wazuri Sana lakini unaambiwa Ana Ukimwi et
Unaanza kunitisha sasa maana mitrip yako ya south, usije ukawa ulikanyaga kwa mapepari wa south.What's threats today's world is Cancer, AIDS is just a pinch...
Weee... Anaelezea kabisa?Afu wenyewe wanachukulia poa tu yani mtu akienda kupima akikutwa nao akija labda maskani anawaambia tu sio kama bongo
So wanakuwa cheap sababu ya kuwa na mdudu or?Mwanangu usishobokee demu wa kisouth ni kwere
Sijawahi kuona mademu warahisi kama wa kisouth ukikataliwa na demu wa kisouth basi hata mungu atakukataa
Ukienda joberg kwa mademu wa kizulu hawa ukitongoza unajichukulia goma hata 10 kwa mpigo
Ukienda cape town kwa hawa africano same thing warahisi pia mitaa ya manenberg parrow belhar kote western cape eastern cape nk nk mademu wakali sana hawa na warahisi mno
Mie cape town na joberg nimewasoma sana mademu wa huko wapo easy mno na wanapenda sana ngono
Be carefull kijana south kuna ukimwi kweli na mademu zao wapo cheap
Labda kidogo ukienda kwazulu natal umhlanga mitaa ya phoenix unit 14 16 nk kwa wahindi na wazungu ndio kidogo mademu wa huko vigumu kuwapata na huenda rate ya hiv ikawa chini uko
Ila hawa zulu people na africano hehehe na walivyo wazuri na misambwanda ni kwere
Yaa yani ukimwi kwao ni kama ugonjwa wa kawaida tu hauwatii stress kama sisiWeee... Anaelezea kabisa?
So wanakuwa cheap sababu ya kuwa na mdudu or?