UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

Chunga Babu nyota yako inaonyesha inataka kuchafuka ,funga zipu mpaka urudi nyumbani.

Kali ni ile unarudi home unamega kwa pupa Mara Paaa ,alafu aliye kuambukiza ni choka mbaya mwenzio Wakati huko umewakataa wanao eleweka(ni utani)
Hakuna mtihani mgumu kama kufunga zipu
 
Yaaa naona hata epidemiological statistics zinaonesha south ndo kinara kwa Africa wana 6.8 million people living with Aids, Tanzania ni 1.4 million. India ana 2.07 million ndo anaongoza Asia, Uncle Sam ni 1.2 million ndo anaongoza North na South America. Na kwa Europe Russia anaongoza kwa 980k

Sent from my SM-C101 using JamiiForums mobile app
 
I am more than serious, Road Accidents kills more than AIDS!!

Wivu wa mapenzi baina ya wapenzi unaua zaidi ya UKIMWI.

By then UKIMWI ndo unaingia kutoka Uganda, ambapo mtu alikuwa naanza kuumwa, anakondeana na kubaki mifupa na kutoka madonda mwili mzima, umbo la mwili na taswira vyote vinapotea kwenye mwili wa muathirika.... na hatimaye anapoteza uhai baada ya kuugua kwa muda mrefu. Wakati huo AIDS ndo ilikuwa threat, kwa sasa sio threat tena sababu hauna dawa sawa ila unavipunguza makali ya kuathirika na unyanyapaa umekwisha.

Watu wanavaa plastic bila kupima na wanabadilishana tupu zao.... ukiona idadi kubwa sana ya wananchi wanashirikiana sana tupu zao bila woga ukue huo ugonjwa sio threat tena.

Ushawahi ona mgonjwa ana uvimbe wa shingoni, umepasuliwa hauponi, anakandikwa dozi ya mionzi anaugulia na maumivu makali hadi anakata roho bila matumaini ya kupona.... mbaya zaidi wataalam wa leo wameishia kutuambia vitu na baadhi ya vyakula vinavyoweza kusababisha kansa baada ya miaka kadhaa..... CANCER IS THREAT for the time being rather than AIDS.

Its not a MUST to agree with my views but that's a little FACT I know about the two diseases.

K' Matata.
Woooow darling i missed u!!! r u ok
 
Nchi za kusini mwa Africa prevalence ya ukimwi ni kubwa sana with peak being at Swaziland ambako ni 28% na hizo ni statistics zinazoletwa na walioenda kupima,ukikadiria kwenye uhalisia inaweza kufika 40%..wanawake wanatembea uchi mda mwingine ...mtambo ukiinuka tu pakuchumpa panaonekana na nasikia hata rate ya unyimi ni ndogo sana

Hata South Africa prevalence ya wenye maambukizi ya virusi ni kubwa sana tena sana, kama unakwenda kavu kavu bila kupima utarudi nao bongo tukuzike tu..

Na usijepima mtu saizi na kukuta hana alafu ukaenda naye kavukavu..unaweza kupata kama ana maambumizi..ukimwi ukipata leo mpaka hivi vipimo vyetu vije kupima ni after a month..kipindi hiki cha mwezi mtu anaweza kuwa na maambukizi na bado kipimo kisionyeshe..kipindi hiki tunaita window period
 
Bondeni wapi kariakoo, au Africa kusini kama ni Africa kisini Mimi bana nataka kuja maana maisha ya kibongo noma, kama ni kariakoo shimoni Mimi no
 
Mkuu utakufa huko rudi Bongo pointi mzigo then unarud mabondeni na mzigo wako
 
Mkuu piga tu kavu huwez pata kwa cku moja .au kama vp niunganshie contact zao
 
Mkuu ingia kwenye vituo vya afya omba dawa za kukinga sasa hivi zinatolewa zitakusaidia uwe unajipigia mizigo bila wasi.
 
Nikihitaji contena zima la wazulu nawezapata huko mkuu? Ili waje wakimbize kwenye bar yangu kijichi huku.
 
Kwahiyo mademu sita wote unataka wawe wanawake wako? una balaa wewe, tulia achana na ngono Mungu yupo na hapendi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom