prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Nimeenda kufanya participant research msukuma wa watu na ushamba wangu oohh kumbe huku iringa kuna ulanzi na commoni, dah? Ktk participant research lazma ubugie lol,nikaipenda umh? Nikapenda pia wanawake wanaouza hizi tapu tapu kumbe most ni victims