Kasesela atoa kituko: Awataka wanaume wa mkoa wa Iringa kutembea na vipimo vya Ukimwi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Mkuu wa Wilaya wa Iringa Mh. Kasesela amewataka wanaume wa mkoa wa Iringa kutembea na iipimo vya UKIMWI na pindi wakitongoza mwanamke wasikubali kufanya lolote kabla ya kupima kama mzima kama ana maambukizi ya VVU, huku akiwataka wanawake kuwanyima unyumba waume zao wanaogoma kupima VVU.
 
Kwahiyo ameshawaona wana Iringa wanapenda sana Chini.
Uongozi ni busara na maarifa, kwani hivyo vipimio anafahamu vip, kwamba vinapatikana bure!? au kimoja kinatumika zaidi ya mara moja!?
Au wanairinga wanapesa sana za kununulia vipimio!?
 
Huyu DC haishiwi vituko
Screenshot_20191124-045423.jpeg
 
Kwahiyo ameshawaona wana Iringa wanapenda sana Chini.
Uongozi ni busara na maarifa, kwani hivyo vipimio anafahamu vip, kwamba vinapatikana bure!? au kimoja kinatumika zaidi ya mara moja!?
Au wanairinga wanapesa sana za kununulia vipimio!?
Ni Sehemu ya Maisha labda uwe umeharibikiiwa Sehemu ya akili.
 
Mkuu bw DC yuko sahihi labda tatizo ni namna alivyowakilisha hoja yake kuna wanawake au wanaume wanawapa wenzao moto kwa makusudi kwahiyo dawa ni hiyo damu kwanza then mbunye
 
Back
Top Bottom