Ukimwi na Mapenzi

Mume wangu nakupenda sana, ujilinde, mimi siwezi kukulinda au kukuchunga kila uendapo, unaweza ukawa kuna mambo unayafanya ambayo mimi hutaki niyajue na wala sitaki nijue, Tafadhali sana lolote lile utakalofanya jua kuna ukimwi, Angalau ukumbuke kutumia kinga, kwakweli sitakusamehe wala kukuhudumia siku ukipatwa na ukimwi. Hayo ni maneno ambayo mke alikuwa anamwambia mumewe. Lakini baada ya miaka kadhaa ya ndoa kama nane hivi mke ikajulikana yeye ndio amepata ukimwi bahati nzuri mume alipoenda kucheki yeye alikuwa bado hajaathirika. Mbaya zaidi jamaa hajawahi kusikia wala kuhisi kama mkewe anatoka nje ya ndoa mpaka alipogundua dalili za ukimwi kwa mkewe.

Kweli ndoa ngumu. Kupata mtu muaminifu ni ndoto.

Hapo ndo ujue uaminifu ni siri ya mtu moyoni.

Sasa huyo mke kautoa wapi huo ukimwi? Kachangua sindano? Au kaupata the old fashioned way?

Either way, nasaha zake kwa mumewe zilikuwa zina-project tabia yake.
 
hatujui upande wa pilli wa hii hadithi...nachelea kumuhukumu huyu mama coz hatujui nini kilimsibu....all in all uaminifu unajengwa na vitu vingi sana...
Ingekua ni mwanaume ndie kapatikana bado ungeonesha subra hiyo hiyo?
 
Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.

The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.
I read somewhere that the likelihoods of catching HIV less than 0,3% per coitus.
Ingekua kila coitus inaambukiza basi watu wangeisha duniani, tungebaki sisi tu.
Ngoja nitafute ile source then nije ni-edit this post. Nilishangaa mwenyewe!
Estimated HIV transmission risk per exposure for specific activities and events

ActivityRisk-per-exposure
Vaginal sex, female-to-male, studies in high-income countries0.04% (1:2380)
Vaginal sex, male-to-female, studies in high-income countries0.08% (1:1234)
Vaginal sex, female-to-male, studies in low-income countries0.38% (1:263)
Vaginal sex, male-to-female, studies in low-income countries0.30% (1:333)
Vaginal sex, source partner is asymptomatic0.07% (1:1428)
Vaginal sex, source partner has late-stage disease0.55% (1:180)
Receptive anal sex amongst gay men, partner unknown status 0.27% (1:370)
Receptive anal sex amongst gay men, partner HIV positive0.82% (1:123)
Receptive anal sex with condom, gay men, partner unknown status0.18% (1:555)
Insertive anal sex, gay men, partner unknown status0.06% (1:1666)
Insertive anal sex with condom, gay men, partner unknown status0.04% (1:2500)
Receptive fellatioEstimates range from 0.00% to 0.04% (1:2500)
Mother-to-child, mother takes at least two weeks antiretroviral therapy0.8% (1:125)
Mother-to-child, mother takes combination therapy, viral load below 500.1% (1:1000)
Injecting drug useEstimates range from 0.63% (1:158) to 2.4% (1:41)
Needlestick injury, no other risk factors0.13% (1:769)
Blood transfusion with contaminated blood92.5% (9:10)
Sources: vaginal sex;[SUP]1[/SUP] anal sex;[SUP]2[/SUP] fellatio;[SUP]3[/SUP] [SUP]2[/SUP] mother-to-child;[SUP]4[/SUP] other activities.[SUP]5[/SUP]



http://www.aidsmap.com/Estimated-risk-per-exposure/page/1324038/#item1324093



 
Mkuu have you ever heard of discordant couples?Google it .Inachanganya sana kwa kweli
Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.

The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.
 
Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.

The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.
Hii inashangaza lakini hutokea. before nilikuwa siamini, ikaja kutokea kwa ndugu yetu. wakati mke wake ana mimba(3months) ndugu yetu akaanza kuugua ukimwi, tukaenda hospitali kibao kuthibitisha kama ana huo ugonjwa, kila hospital tulioenda ilithibitisha kuwa anao. ndugu yetu akafariki. tukamchukua mke kwenda kumpima, kila tulikompeleka tukaambiwa hana, na mke akawa anang'ang'ania kuwa mumewe amerogwa kwa sababu ingekuwa ukimwi na yeye angekua nao. lakini ukweli ni kwamba ndugu yetu alikuwa na ukimwi. Mpaka leo hii sielewi iliwezekanaje.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom