You are retired. stay retired. our doctors can detect the change in genetic code also. Kwendrah kule you always think negatively....But mind, viruses are capable of changing their genetic code and that is where the problem lies!
Utaibuka mwingine wakuziba pengo
Kwa nn itangazwe misikitini? Kwa sababu waislam ndio wazinifu saana auHii dawa ikatangazwe kwenye misikiti yote na waumini wote waseme kwenye vipaza sauti vyao “Hakika Umebarikiwa Ee Jerusalemu”
Hujaelewa.Kwa nn itangazwe misikitini? Kwa sababu waislam ndio wazinifu saana au
Heshimu dini za wenzio kua na adabuKwa nn itangazwe misikitini? Kwa sababu waislam ndio wazinifu saana au
Hujaelewa.
Hawawakubali waisraeli.
Hapo nawachokoza tu.
Siku tukifikia level hz watazania cjui kama kutakuwa na MTU atakuwa na mda kufikiria kumteka mwenzake.Viva! Viva! Viva Israel.
Hizi story za dawa (tiba) ya ukimwi kupatikana zimekuwa zikijirudia rudia sehemu moja hadi nyingine but still there is no "Cure" what does this means? Mere endeavor with no significant output,all of no avail!Wazinzi watafanya karamu usiku kucha
Uelewa wako ni mdogo sana! Kwa tafsiri rahisi ni kuwa katika watu 100 watakaotibiwa na dawa hii watu 99 watapona!Lakini badowatumalizi virusi wote kabisa mwilini kwa asilimia 100 kama dawa zinavyoua vijidudu vya magonjwa mengine (mfano malaria) zinavyomaliza wadudu wote kwa asilimia 100 kwa hiyo ngoma bado mbichi sema tu ni hatua kubwa imepigwa...
Unlike malaria Hiv is a man to man transmitted virus,which means if the one has no virus then there'll be no transmission to others!Malaria has quite effective drugs but still is one of the leading cause of deaths and hospital admissions!
Hivi N.Korea walishindwa kuivumbua kuwaaibisha hawa western?Huu uvumbuzi ni wa muda mrefu wazungu wanabania tu
Kiswahili hakikuletwa na Waarabu, soma vizuri shule.wewe lugha yako ni pi, lugha ya asili? Kiswahili si walileta waarabu au?
Wazungu sio vichaa hivyo,wanajua ikipatikana dawa,kuna MENGI yatakwama,ukimwi ni mradi mkubwa mno,umezalisha ajira na n.kDawa ya ukimwi imeshapatikana
Toka mwanzo ukimwi au virusi vya h I v vinatengenezwa, dawa yeke ilikuwepo pia, Ila kulikua na mikakati frani frani iliyopo mpaka sasa tusiyo ijua, niwapongeze Israel kwa kiwango kizito cha majaribu na vikwazo vya kila aina walivyopitia mpaka kufikia hatua hiyo.