UKIMWI kwisha habari yake!

Imenibidi kuzama google kwanza nione hii Gammora drug. nkakuta ugunduzi umetangazwa kama siku 6 nyuma ivi

shida hii kitu kufika kwetu tunaweza kuwa tusha kata moto maana gharama yake ni kubwa mno
 
Malaria has quite effective drugs but still is one of the leading cause of deaths and hospital admissions!
 
Imenibidi kuzama google kwanza nione hii Gammora drug. nkakuta ugunduzi umetangazwa kama siku 6 nyuma ivi

shida hii kitu kufika kwetu tunaweza kuwa tusha kata moto maana gharama yake ni kubwa mno
Usijali WHO watasaidia kupunguza gharama kwani hata wazungu ni waathirika!
 
Watengeneze Virus wao

Kisha baada ya kuuwa watu wapuuzi hawa
wanatuletea dawa eti

kisha kuna viatu
Vinawasapoti wauwaji hawa na waharibifu
 
Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Utaibuka mwingine wakuziba pengo
 
Leo ni siku yangu ya kupita pale sinza na kuopoa chombo kimoja matata nikapige kavu kavu
Kapige kavu mkuu ila usifikili dawa watakuuzia kwa bei ya jackpot kama ARV
 
Dawa haitapatikana kama tutaendelea kumtegemea mzungu. Hawezi wapa dawa wakati ni mtaji kwake kuwauzia arv.
 
Kwa wale wanatafuta wake, mwanamke wa kuoa ni yule aliyepona ukimwi(kama kweli dawa ipo). Huyo atakuwa anajua kutulia maana atakuwa amepitia somo moja kali sana la maisha.
 
Wapuuzi hao wasiokuwa na Huruma

Hulifanya hili Bara la Giza,kuwa ni sehemu yao ya mazoezi na utajirishi

Wameligeuza ni sawa na Dampo

Puuuzi kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…