UKIMWI bila Pesa ni hatari...

UKIMWI bila Pesa ni hatari...

Naomba nieleweke nimesimama miaka mitano nina miaka 28 nimemaliza chuo kimoja mwaka huu level ya degree nimeweka hii status coz ni kitu nilichofikiri moyoni na rohoni pia kupitia ushauri wenu nafarijika sina lengo lolote la kutaka pesa kwa mtu ila ni hali ninayopitia kwa sasa ushauri ni kitu kikubwa sana
 
Nakubaliana na wewe, nafikiri nimefikiria mbele zaidi far ahead of time. naona dada hafunguki sana, na kama anafikiri anahitaji sana msaada wa kujikwamua she needs to funguka hata kama si jamvini, na kwa mtazamo wangu wewe kwa reputation yako akifunguka zaidi kwako na ukija kwetu au kwa wadau baada ya kujiridhisha na taarifa zake ukisema anahitaji financial assistance basi tunaweza kujikuna mkono unapofika. la kuna wadau humu wana kampuni zao na wanaweza kumpa kibarua ambacho kitaweza kumsustain. Pamoja na counseling na whatever, financial stability ni muhimu kwa mtu yeyote na kwa mgonjwa wa Ukimwi ni zaidi IMO.

Upo sawa kabisa Kaunga. I completely support... BUT like you said, wacha Mariangonyani afunguke zaidi itatusaidia pia. THANK YOU for the acknowledgement, I am humbled.
 
Naomba nieleweke nimesimama miaka mitano nina miaka 28 nimemaliza chuo kimoja mwaka huu level ya degree nimeweka hii status coz ni kitu nilichofikiri moyoni na rohoni pia kupitia ushauri wenu nafarijika sina lengo lolote la kutaka pesa kwa mtu ila ni hali ninayopitia kwa sasa ushauri ni kitu kikubwa sana

mimi nakushauri kuongeza ibada/sala.
 
Naomba nieleweke nimesimama miaka mitano nina miaka 28 nimemaliza chuo kimoja mwaka huu level ya degree nimeweka hii status coz ni kitu nilichofikiri moyoni na rohoni pia kupitia ushauri wenu nafarijika sina lengo lolote la kutaka pesa kwa mtu ila ni hali ninayopitia kwa sasa ushauri ni kitu kikubwa sana

Good, na hongera kwa kutokata tamaa na kuendelea na masomo. So umeajiriwa?
Unaweza usisaidiwe pesa lakini hata tips za ajira; heading yako na maelezo yako yanahusiana na pesa so ni vizuri kwamba hutaki pesa za kupewa lakini kama una kibarua kwanini issue ya kupata mlo iwe tatizo? Au ushauri gani unaoutaka zaidi?
 
Nakubaliana na wewe, nafikiri nimefikiria mbele zaidi far ahead of time. naona dada hafunguki sana, na kama anafikiri anahitaji sana msaada wa kujikwamua she needs to funguka hata kama si jamvini, na kwa mtazamo wangu wewe kwa reputation yako akifunguka zaidi kwako na ukija kwetu au kwa wadau baada ya kujiridhisha na taarifa zake ukisema anahitaji financial assistance basi tunaweza kujikuna mkono unapofika. la kuna wadau humu wana kampuni zao na wanaweza kumpa kibarua ambacho kitaweza kumsustain. Pamoja na counseling na whatever, financial stability ni muhimu kwa mtu yeyote na kwa mgonjwa wa Ukimwi ni zaidi IMO.

dah, ila kashafunguka jamani, ujue ameonesha mazingira yote ya kuhitaji msaada zaidi ya ushauri. ngumu kusema shida ya pesa hasa kwa watu ambao hata huwafahamu.
 
Siku nilipogundulika nina vvu nilishtuka ila nikaja kuzoea na nikasema sitakuwa kwenye mahusiano na ikawa ivo tatizo ni siku za karibuni familia yangu haijui tatizo langu na imeyumba kiuchumi kiukweli naona nafika mwisho sina hela muda mwingine ya kula naitaji kwenda hospital pia nashindwa mungu anilinde na marafiki mniombee nina wakati mgumu sana

pole sana dada yangu gonjwa hili linatisha sana ila ukimwomba MUNGU na kumwamini namiini utapona kwa kuwa kwake hakuna kinachoshindikana cha msingi mwamini na kumwabudu yeye ktk jina la YESU KRISTO nakumbea upone
 
Good, na hongera kwa kutokata tamaa na kuendelea na masomo. So umeajiriwa?
Unaweza usisaidiwe pesa lakini hata tips za ajira; heading yako na maelezo yako yanahusiana na pesa so ni vizuri kwamba hutaki pesa za kupewa lakini kama una kibarua kwanini issue ya kupata mlo iwe tatizo? Au ushauri gani unaoutaka zaidi?

sina ajira ndo nimemaliza chuo wapendwa
 
Oh! Pole sana dada, jisifie mwenyewe, wewe ni shujaa, still kufunguka kwa wazazi wako juu ya hali ulionayo ni MUHIMU SANA. Plz God help her.
 
dah, ila kashafunguka jamani, ujue ameonesha mazingira yote ya kuhitaji msaada zaidi ya ushauri. ngumu kusema shida ya pesa hasa kwa watu ambao hata huwafahamu.

Nimeona, na nimeelewa. Sasa sijui tunamshauri jinsi ya kuwahusisha watu wake wa karibu (of which Smile amejitahidi) au kuishi positively with HIV naona watu wamechangia pia, au kumsikiliza tu na kumpa pole.

Anyway Mariangonyani ingia hapa http://www.scoan.org/media/healing/ click kijisection cha HIV huenda itasaidia kukupa nguvu ya kumlilia Mungu as hakuna kinacho shindikana.
 
sina ajira ndo nimemaliza chuo wapendwa

Umesomea nini, nauliza hili huenda mtu akaamua kukuunganishia na mchongo fulani kwa PM au hata humu jamvini; waswahili wanasema sema shida yako watu wakusaidie, wasipojua watakusaidiaje?
AshaDii naona moja ya issue ni kishughuli.
 
Last edited by a moderator:
nimeona, na nimeelewa. Sasa sijui tunamshauri jinsi ya kuwahusisha watu wake wa karibu (of which smile amejitahidi) au kuishi positively with hiv naona watu wamechangia pia, au kumsikiliza tu na kumpa pole.

Anyway mariangonyani ingia hapa http://www.scoan.org/media/healing/ click kijisection cha hiv huenda itasaidia kukupa nguvu ya kumlilia mungu as hakuna kinacho shindikana.
mungu ni mwema always anafanya njia pas

ipo na njia.....kiukweli mwenzetu ana hali ngumu ...tumuombee....umelize chuo...huna kazi ..una hiv daaah
 
Pole sana dada Maria, Hongera kwa ujasiri.

Je, unafanya kazi ama bado uko na wazazi?
 
sasa hapo cha kufanya wewe tumia hii mitandao ya kijamiii kujiuza piga picha za kutamanisha kisha aanza kusanbaza hapo itakua fresh mpaka dawa ipatikane 2015 utaishi nao fureshi
 
Shikamooooooooooooooooooooooooo kaka Mungi_unataka kumhamishia ghetto mazima ama...?
 
Unaswali wapi tuji kukuchangia msikiti upi au kanisa gani? Pole sana mungu akulinde nakupe uvumulivu
 
sasa hapo cha kufanya wewe tumia hii mitandao ya kijamiii kujiuza piga picha za kutamanisha kisha aanza kusanbaza hapo itakua fresh mpaka dawa ipatikane 2015 utaishi nao fureshi

kila jambo na wakati wake mkuu..kuna wakati WA kua serious na wakati WA utani..usilete utani kwenye issue kama hii..imagine ungekua ni wewe..shame upon you
 
Back
Top Bottom