Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
hata wanaume pia wapoumeongea fact ,,,hasa mademu ndo zao ,,bora wanaume wanakuwa kimya bila kujua amefurahi au laa
Pole sana muhanga wa janga hili haya yanaisha!Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la Kweli na kumpakaza mabaya kwa wengne, kwani kufanya hvo haitakufanya wewe kuonekana mwemaa kwa wengne na haisaidii chochote wala haiongez chochote
Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo n choice when u decide to move on move for good..
Hata nyie pia,hamuishi kupakaza inabore sanaaaa aiseemadem ndo zenu mki achana amkawii kuwaa mbia wenzenu wana vibamia
Hao wanaumwahata wanaume pia wapo
SaaaaanaKama povu hivi.
Kuchafiliwa kunauma
Wazma kabsa ila ndo hvoHao wanaumwa
A lovely word from a lovely Luminosity!Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la Kweli na kumpakaza mabaya kwa wengne, kwani kufanya hvo haitakufanya wewe kuonekana mwemaa kwa wengne na haisaidii chochote wala haiongez chochote
Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo n choice when u decide to move on move for good..
madem ndo zenu mki achana amkawii kuwaa mbia wenzenu wana vibamia