Hizi hekima hizi zimeanza lini mbona hamsemi?Kibinadamu ni ngumu 😂😂😂 ilaaa kiimani tukikaza tunaweza na mwisho tutazoea kutokulipa ovu kwa ovu, tutajikaza kutolipiza kisasi na kuacha ghadhabu ya Mungu ifanye kazi yake.
Kuna binadamu Leo kaniudhi kuliko maelezo,yaani nimembeba moyoni Kwa masaa kadhaa nikitafuta adhabu yake ila ndio nasoma hii comment Yako,umeuponya moyo wangu Kwa namna ya kipekee sana... ubarikiweInawezekana kumbariki na kumwombea aliyekuudhi ikiwa unaye Roho mtakatifu, kibinadamu Si Rahisi, shetani hutumia na kuinua watu waje kutuchokoza na kutuonea, Nia yake umtukane mtu huyo au umjibu Kwa kurudisha matusi Ili achukue matusi Yako na kuyapeleka Kwa Mungu Ili kukushtaki uadhibiwe.
Ukimbariki anayekuudhi na kumuombea unapata faida kubwa moja,
Kumsamehe na kumbariki aliyekuudhi bila Yeye kuja kukuomba msamaha kunaondoa Sumu ya matusi ndani ya moyo wako, AMANI ya moyo wako itakurudia.
Tendo Hilo litarudi kurudisha HATIA na kukosa amani zaidi Kwa aliyekuchokoza, hautapita muda atakuja na kutubu kwako, jambo ambalo, ungerudisha matusi isingewezekana.
Kumsamehe aliyekuonea inakupa wewe Amani na kumwachia Mungu akulipie kisasi, maana imeandikwa kisasi ni Cha Mungu, ukisamehe, Mungu atakwenda kukulipizia kisasi Kwa mtu yule kama hatotubu.
Wezi waliowahi kuibia WATAKATIFU na hawakurudi kutubu, walipata ADHABU ya Mungu bila kujua, na ADHABU ya Mungu ni nzito na ya HAKI.
Amen
Ubarikiwe,Kuna binadamu Leo kaniudhi kuliko maelezo,yaani nimembeba moyoni Kwa masaa kadhaa nikitafuta adhabu yake ila ndio nasoma hii comment Yako,umeuponya moyo wangu Kwa namna ya kipekee sana... ubarikiwe
Kuna binadamu Leo kaniudhi kuliko maelezo,yaani nimembeba moyoni Kwa masaa kadhaa nikitafuta adhabu yake ila ndio nasoma hii comment Yako,umeuponya moyo wangu Kwa namna ya kipekee sana... ubarikiwe
Mungu atusaidie Kwa kweli!Ubarikiwe,
Kuna watu wengi JELA wameua bila kukusudia walipochokozwa, wakati wangesamehe, wasingekuwa huko,
Mungu atusaidie!!
Asante Eroni wangu.Pole sana Joannah!
[emoji23][emoji23][emoji23] ila watu wa humu ndani
Hongera sana rafiki.Nimejaaliwa wote hao, na nashuhudia ni kweli uliyosema.
Namshukuru Mungu kwa kunipa hao watu.
Kwa akili yako mimi huyu naweza kunweka?😂Hivi si upunguze ma wivu we Mzee🤣🤣🤣🤣...najua we ndio Mlinzi wangu
Wewe labda Yesu akusaidie uwe jasiri😂Kwakweli nampendaga ana confidence ya hali ya juu namm natamani niwe kama yeye ila😀😀😀
Unamaanisha kubweka sio?kubweka sio level zako level zako ni kuunguruma🤣🤣🤣🤣Kwa akili yako mimi huyu naweza kunweka?😂
Mlinzi si mbwekaji? A.k.a dogiiUnamaanisha kubweka sio?kubweka sio level zako level zako ni kuunguruma🤣🤣🤣🤣