Sema tu naogopa maandamano na talumbeta list ningeshusha hapa hapaHaya bwana😁😁😁
Sema tu naogopa maandamano na talumbeta list ningeshusha hapa hapaHaya bwana😁😁😁
Hahahahaha nimekusoma mkuu. Wewe ni moja wapo wa wanaolinda,si yo wewe ndo mlinzi. Ukichanganya kauli,shauli yako.Tupo tunaulinda hadi huo ulinzi wake mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatar tupu.Kuna Kijana Mmoja mtaani kwetu alikua analinda hivihivi kumbe analindia Wenzake Mwaka jana yule Binti kaolewa na Msela Wa Dar Nyie[emoji23][emoji23]
Achana nayo!kila mtu ana uhuru wa kuishi apendavyoSema tu naogopa maandamano na talumbeta list ningeshusha hapa hapa
Kale kabinti ka Kasie kamo? Nakapenda basi tu.Haya bwana😁😁😁
Abee… kijana analinda mimi mpaka na ulinzi wenyewe unaotumika kunilinda.Hahahahaha nimekusoma mkuu. Wewe ni moja wapo wa wanaolinda,si yo wewe ndo mlinzi. Ukichanganya kauli,shauli yako.
Depal nimeshakusema hapa mie siri kwenye uongo mi sinaga
Basi futa ile comment yako. Naona hofu imekuingia. Sikusemei wewe. Lakini usirudie😂🤣🤣🤣🤣🤣Achana nayo!kila mtu ana uhuru wa kuishi apendavyo
Weeee, aniulize mimi. Ndo anajyojidanganya? Ameisha.Abee… kijana analinda mimi mpaka na ulinzi wenyewe unaotumika kunilinda.
Hujamuelewa? Muombe afafanue 😂
Negativity will kill u 😂😂😂Weeee, aniulize mimi. Ndo anajyojidanganya? Ameisha.
Cheo kama chake kwanza wanacho 8.
Cha chini,si chini ya 20. Sasa analindaje ulinzi unaokulinda. Bora tu asingizie kuumwa akajifariji home.
Nilishasifiwaga hiv hiv kila mahali ,ila mwisho wa siku nilimwacha yule dada kimasihara , mhmmm shauri yako [emoji848][emoji848]Nimejaaliwa wote hao, na nashuhudia ni kweli uliyosema.
Namshukuru Mungu kwa kunipa hao watu.
😂😂😂 ila watu wa humu ndaniNilishasifiwaga hiv hiv kila mahali ,ila mwisho wa siku nilimwacha yule dada kimasihara , mhmmm shauri yako [emoji848][emoji848]
😂😂😂😂Nilishasifiwaga hiv hiv kila mahali ,ila mwisho wa siku nilimwacha yule dada kimasihara , mhmmm shauri yako [emoji848][emoji848]
🤣🤣 nifa hatujui vizuri huyu😂😂😂 ila watu wa humu ndani
🤣🤣😂😂😂😂
Hahaha...!!Daah!! Hili neno nimelishea jana tu.
Hahaa haya dada njoo uchote na hapa neno zuri kabisa.
Afu ulivyonihoji mm, umuhoji na mkuu Rabbon Carleen 😂😂
Mdogo wangu ali-share hilo Neno, nikamuuliza hivi inawezekana kumbariki mtu aliyekuudhi Ile saaana..??Kunani tena😀😀
Mimi sio yeye wala yeye sio wewe.Nilishasifiwaga hiv hiv kila mahali ,ila mwisho wa siku nilimwacha yule dada kimasihara , mhmmm shauri yako [emoji848][emoji848]
Kwahiyo nisimpende/kumsifu mtoto wa mama mkwe wangu kisa wewe ulimuacha mtu?🤣🤣 nifa hatujui vizuri huyu
🤗🤗 aya nimekaa pale🤣🤣Mimi sio yeye wala yeye sio wewe.
Pole Mkuu, haya mambo hayana formula.
Yaliyotokea kwake sio yatakayotokea kwangu.
Namsifu kwa kila kitu, usinitisheeee 🤣🤣👌🏽
Hahaha utani tu😊😊Kwahiyo nisimpende/kumsifu mtoto wa mama mkwe wangu kisa wewe ulimuacha mtu?
Kuwa serious basi Mkuu.
Kuna watu wamepigwa matukio mpaka hawajiamini… hawaamini kama watu wema bado wapoKwahiyo nisimpende/kumsifu mtoto wa mama mkwe wangu kisa wewe ulimuacha mtu?
Kuwa serious basi Mkuu.