Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Kwahiyo nyie wanawake kwenye mahusiano mmejiwekea kuwa ni watu wa kufanyiwa tu, nyie hamfanyi chochote Kasie

Jukumu kubwa kwa jinsia ya KE kwa ME kiasili na kusikiliza maelekezo na KUTII.....

Kwenye mahusiano yeyote kati ya jiansia KE na ME kioa mmoja ana jukumu lake, ambaye hafanyi jukumu lake anakiuka asili.

Rejea, binti kiasili anapaswa kufanya nini kwa baba yake mzazi.

Dada anapaswa kufanya nini kiasili kwa kaka yake wa damu.

Mke anapaswa kufanya nini kwa mumewe

Mama anapaswa kufanya nini kwa mtoto wake wa kiume...

Kujibu swali lako, hatujajiwekea, bali ni asili na ukitizama kwa upeo kila jinsia KE ina la kufanya kwenye kila husiano lake na ME....
Lipo tena yapo majukumu mengi tuu.
 
Kuna Kijana Mmoja mtaani kwetu alikua analinda hivihivi kumbe analindia Wenzake Mwaka jana yule Binti kaolewa na Msela Wa Dar Nyie😂😂
Teh teh teh 😃😃 sio kila kitu lazima ufanye aiseee......chukulia kawaida tu.
 
Angalia usiteswe na wasaliti, songa mbele kama injili rafiki
Kwakweli life is too short,nitakuja nipate Somo la kuwa jasiri 😀😀Kwakweli mie toleo la mwisho la kubebika 😂😂😂
 
Nimekuheshimu sana, hivi ndivyo wanaume tunatskiwa kuwa.
Utanitembelea tafadhali kuna barua yako
Mkuu,
Nisomee waraka wangu mapema kabisa🤣🤣huwa mtu akiniambia ana kitu changu sikai kwa utulivu hata kidogo🤣
 
Wala sina shida na wewe.
Pili sinaga adui..ex sio aduoi

Naogopa unavyomshobokea na jamaa kala jiwe hatari...ili isimharibie😂
🤣🤣🤣Ukiona bado unamuangalia ex anatoka na nani ujue bado unampenda...we usimsingizie ERoni wangu mtulivuuu mwenyewe
 
Back
Top Bottom