Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Hahaha...!!
Hivi unajua nimetoka kufanya nilichouliza Jana, mtu kanitukana matusi nikambariki..?? Mpaka nikahisi siyo Mimi..!!

Mdogo wangu ali-share hilo Neno, nikamuuliza hivi inawezekana kumbariki mtu aliyekuudhi Ile saaana..??
Japo ulinizuia nisikujibu, nasemea hapa asante sweetheart.

Unachokiongelea hata mimi niko hivyo siku hizi, hadi najiuliza ndio nimekuwa mtu mzima busara zimeongezeka au vipi?

Niko ktk stage sitaki kabisa ugomvi na watu, nafurahia maisha coz yana vingi vya kunipa furaha kuliko ugomvi.
 
🤗🤗 aya nimekaa pale🤣🤣
Kuna watu wamepigwa matukio mpaka hawajiamini… hawaamini kama watu weka bado wapo
Aiseee nina mengi ya kuwaambia nyie watu, inabidi tubadili hii mindset ya watu kuokoa ambao bado wanaamini ktk mapenzi ya kweli.

Jamani eeeh, siku nikianzisha thread ya love story yangu na mkaka wa hapahapa JF andaeni gunia la popcorn, itakuwa balaaaa!
 
Kibinadamu ni ngumu 😂😂😂 ilaaa kiimani tukikaza tunaweza na mwisho tutazoea kutokulipa ovu kwa ovu, tutajikaza kutolipiza kisasi na kuacha ghadhabu ya Mungu ifanye kazi yake.
Hahaha...!!
Hivi unajua nimetoka kufanya nilichouliza Jana, mtu kanitukana matusi nikambariki..?? Mpaka nikahisi siyo Mimi..!!

Mdogo wangu ali-share hilo Neno, nikamuuliza hivi inawezekana kumbariki mtu aliyekuudhi Ile saaana..??
 
Hahaha...!!
Hivi unajua nimetoka kufanya nilochouliza Jana, mtu kanitukana matusi nikambariki..?? Mpaka nikahisi siyo Mimi..!!

Mdogo wangu ali-share hilo Neno, nikamuuliza hivi inawezekana kumbariki mtu aliyekuudhi Ile saaana..??
Inawezekana kumbariki na kumwombea aliyekuudhi ikiwa unaye Roho mtakatifu, kibinadamu Si Rahisi, shetani hutumia na kuinua watu waje kutuchokoza na kutuonea, Nia yake umtukane mtu huyo au umjibu Kwa kurudisha matusi Ili achukue matusi Yako na kuyapeleka Kwa Mungu Ili kukushtaki uadhibiwe.

Ukimbariki anayekuudhi na kumuombea unapata faida kubwa moja,

Kumsamehe na kumbariki aliyekuudhi bila Yeye kuja kukuomba msamaha kunaondoa Sumu ya matusi ndani ya moyo wako, AMANI ya moyo wako itakurudia.

Tendo Hilo litarudi kurudisha HATIA na kukosa amani zaidi Kwa aliyekuchokoza, hautapita muda atakuja na kutubu kwako, jambo ambalo, ungerudisha matusi isingewezekana.

Kumsamehe aliyekuonea inakupa wewe Amani na kumwachia Mungu akulipie kisasi, maana imeandikwa kisasi ni Cha Mungu, ukisamehe, Mungu atakwenda kukulipizia kisasi Kwa mtu yule kama hatotubu.

Wezi waliowahi kuibia WATAKATIFU na hawakurudi kutubu, walipata ADHABU ya Mungu bila kujua, na ADHABU ya Mungu ni nzito na ya HAKI.

Amen
 
Natamani sana ungeiongezea nyama hii stori yako nimependa
Si unazijua tabia za makonda wengi zilivyo na maneno yao machafu machafu, afadhali hata makonda wa miaka hii wana ustaarabu kidogo, miaka ya nyuma kazi ya ukonda ilikuwa inafanywa na wahuni sana kwahiyo mambo mengi ni uhuni uhuni tu. Nilimjia juu yeye mwenyewe akanywea, mama ananivuta mkono ananiambia twende achana nae asije akakupiga bure, nikamwambia athubutu aone kama hajalala jela, watu wengine wakaingilia kati kumkosoa vikali konda mpaka akamuomba mama samahani.
 
Japo ulinizuia nisikujibu, nasemea hapa asante sweetheart.

Unachokiongelea hata mimi niko hivyo siku hizi, hadi najiuliza ndio nimekuwa mtu mzima busara zimeongezeka au vipi?

Niko ktk stage sitaki kabisa ugomvi na watu, nafurahia maisha coz yana vingi vya kunipa furaha kuliko ugomvi.
Wewe ni Mimi Nifah..
Mahali nipo sasa hivi hata kumjibu mtu huwa naona shida au nachoka....

Mtu anaweza kuongea weee anayotaka kuongea, au nikasikia niliyosikia na wala nisimuulize...Maana naona kama najichosha.
 
Aiseee nina mengi ya kuwaambia nyie watu, inabidi tubadili hii mindset ya watu kuokoa ambao bado wanaamini ktk mapenzi ya kweli.

Jamani eeeh, siku nikianzisha thread ya love story yangu na mkaka wa hapahapa JF andaeni gunia la popcorn, itakuwa balaaaa!
 I

Wale wa kataa ndoa tutakua mbele mbele kama tai😉
 
Habari za kupendana penda na kujaliana na za kihovyo. Binafsi sipendi kujaliwa
 
Hiyo siku mtapigwa na kitu kizito, mapenzi ya ukweli yapo.
Ata mimi nilikua nayo sana kwa kimbaumbau wangu. Ila alipojitokeza mwenye zigo lake ,nilijikuta nipo single 😁😁
 
Aiseee nina mengi ya kuwaambia nyie watu, inabidi tubadili hii mindset ya watu kuokoa ambao bado wanaamini ktk mapenzi ya kweli.

Jamani eeeh, siku nikianzisha thread ya love story yangu na mkaka wa hapahapa JF andaeni gunia la popcorn, itakuwa balaaaa!
Usisahau kunitagipo 😆 maana mko wengi na dada Carleen pia yumo
 
Back
Top Bottom