Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Yani mnakataa usawa ila kwenye mambo kama haya mnataka kujilinganisha na wanawake, yani kila mnachotoa/mnachofanya kwa wanawake basi mnataka nao watoe/wafanye vivyo hivyo kwenu sasa huo utofauti kati ya mwanaume na mwanamke uko wapi, basi acheni tu wanawake wadai usawa kama mambo yenyewe ndio haya
Kunywa Cappuccino nakuja kulipa
 
Hii ya wanaume kuwalinda wanawake sio lazima muwe wapenzi au ndugu, popote tu kukishakua n bond hata ya mda mfupi unajikuta tu hupo radhi apitie changamoto iliyo ndani ya uwezo wako
Safi sana
 
Acha kudanganya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yake binafsi, hapo unakuta una msururu wa wanawake ambao wote unatongoza na kuwaambia unawapenda maana huwa mnasema wenyewe kwamba "mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja" sijui "mwanamke akizungua piga chini tafuta mwingine", sasa kwa hali hiyo mnataka wanawake waingie wazima wazima kwenye mahusiano kweli hapana nao lazima wajihami
Huwa unanichekesha sana wewe!!
 
Acha kudanganya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yake binafsi, hapo unakuta una msururu wa wanawake ambao wote unatongoza na kuwaambia unawapenda maana huwa mnasema wenyewe kwamba "mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja" sijui "mwanamke akizingua piga chini tafuta mwingine", sasa kwa hali hiyo mnataka wanawake waingie wazima kwenye mahusiano hapana nao lazima wajihami
Rafiki yangu imeaua bila huruma.
Lakini kwangu ukiingia sifikiri utatoka kirahisi
 
Tuna mengi tuliyoyafanya na tunayoyafanya ila siwezi yaandika hapa😁hamchelewagi kusema najimwambafai, hata ww ungekua mlalahoi mwenzetu tungebebana tu sema ww salary digits 10+, una apartment mbili, passport imejaaa, biashara kariakoo na ndiga kali huwez elewa huo ulinzi
 
Back
Top Bottom