Imagine unakuta lijamaa linamletea ubabe Binti Yako?hujageuka bulldog hapo Kweli?Wewe ni mbinguni moja kwa moja.
Mimi unitukanie mama yangu au mpenzi wangu mbele yangu...nakuwa mbwa nidiyefaa...utajuta kufungua mdomo.
Sasa bi mkubwa, wanaozulula kama pepo mchafu,leo lodge hii kesho ile, badae kwenye gueto la njemba flani,utamuona anakatiza mitaa,anashuka mabonde na kuruka mitalo, anaendaga kutafuta ulinzi huo au?? Baba yake anakuwa anajua amezaa pepo? Ungesema hapo zamani. Kwa sasa,hapana. Kote kuliko na elfu 5 tu,haiachi,hata kama huyo mnaemuita mme wake anazo za kutosha. Wana kazi ya kukusanya vihela vidogo vidogo kama tu gari la taka mitaani
Na iwe hivyo bibi, naomba sana iwe hivyo hata kwa kiasi kidogo. Huyu mama ni best of the best kwangu najivunia sana kuwa mwanae.Wooow......!!! Nimepata namna unatamani iwe.....
Iko hivi kuna nguvu za asili kwenye hili tufe tunaloishi. Usiache kufanyiq kazi matamanio yako, fanya matamanio yako kuwa lengo lako ... sijui nielezeeje ila kuna usemi positive poles attracts positive energy.
Weka nguvu hapo kwenyw hayo matamanio, fanya mantra and the like...
Si mtaalamu kwenye hayo ila naaminini kitu kinawezekana hata kama matokeo yake ni asilimia 5 ya 100. Ukiamini bila wasiwqsi wowote huwa.
Nakutakia heri kwenye mema yote uyatakayo.
Usiombe ushuhudie hiyo.Imagine unakuta lijamaa linamletea ubabe Binti Yako?hujageuka bulldog hapo Kweli?
Cha ukali Sasa!🤣🤣🤣🤣Usiombe ushuhudie hiyo.
Izuri wake huwa nikimkata mtu jicho kesi huishia hapo
Ndo maana mi hapo alipoacha vidoti,nikatamani nijazie na Hawuzigeli
Sijui wapi nitaupunguzaCha ukali Sasa!🤣🤣🤣🤣
Tupige hatua mbele zaidi.
Yesu asema wapendeni maadui zenu na kuwaombea wanao waudhi.
Ubarikiwe.
Katika kuitembelea bible
Nikafika mpaka warumi 12:14
Neno lake halijapishana na ulichokiandika wewe.
Je ni kweli twaweza pendana pasi na unafki? Waweza mbariki anayekuudhi??
Ile warumi 12 karibu mistari yote inazungumzia mapendo kwa adui
Jinsia ya KE akikubali vile umempenda, umemjali na kumlinda, atakuheshimu na ATAKUTII.
Huu mjadala ni mpana sana ila akili yangu ililenga hapo kwa ME kumpenda, kumjali na kumlinda KE.[emoji173][emoji173][emoji173]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh teh sasa hii mijanamke myenzio siku hizi mingi vibaka,mijizi balaa. Na huko nje mizinga haiishi. Kwa hiyo unaangalia wapi penye unafuu. Afu sweetie Kasie nikwambie kitu!? Wale wadada balaaaaa. Hawafui mzigo kwa Imerial sijui nini,sasa la hapo home mbali na wizi,unalitoa mtaani kwao na asili yake,likifika kwako lianze kujichubua,ukute lina rangi kama 5 au sita hivi. Si kenge sijui mjusi gani. Af mdada wa watu mara weee,ebu maliza nilale mi nimechoka,hutokaa usikie. Akifua,nguo zitatakata,akipika,kweli wamepika. Kwanza unajua nini, naanzisha kampeni ya kuwafanya mpango wa kando. Mpe tu elfu 10! Utapiga hadi uchoke. Utakuwa unajiongeza mwenyewe. Sema tu uombe usikutwe na bi Mwakarobo. Weeeee utatamani ufeJamaniiii......
Kiukweli kutoka chini ya sakafu ya moyo wangu......
Mwanaume mwenye mkewake anayehusiana na mdada wa kazi wa nyumbani kwake mwenyewe..... God forbid.... I hate that.
Bora ukanunue huko au uchukue baa medi au mfanyakazi mwenzako ofisini ila sio hausigeli jamaniii......
Kama hujaoa na unamtongoza dada wa kazi kwa minajili ya kutaka awe mke wako, nabariki hilo jambo, ama laah kama dini inaruhusu awe mke wa pili ila sio kumnyapia usiku wakati mkeo amelala chumbani au kumvizia mchana wakati nyumbani hakuna mtu.....🤨
Neema ya kuliwa pamoja na mdada wa kazi wako?Inawezekana kwa neema tuu.
Ni hilohilo neno la Mungu limesema hivyo.
Bila neema ya Mungu, si rahisi.
Akina mie nisieweza unafiki.... nahitaji hiyo neema haswa.
Hivi, si uzame mtaani basi utufanyie kautafiti kidogo. Kwa nini wale madada huwaga watam kuliko wa maza hauzi wao?🤣🤣🤣🤣🤣Jamaniiii......
Kiukweli kutoka chini ya sakafu ya moyo wangu......
Mwanaume mwenye mkewake anayehusiana na mdada wa kazi wa nyumbani kwake mwenyewe..... God forbid.... I hate that.
Bora ukanunue huko au uchukue baa medi au mfanyakazi mwenzako ofisini ila sio hausigeli jamaniii......
Kama hujaoa na unamtongoza dada wa kazi kwa minajili ya kutaka awe mke wako, nabariki hilo jambo, ama laah kama dini inaruhusu awe mke wa pili ila sio kumnyapia usiku wakati mkeo amelala chumbani au kumvizia mchana wakati nyumbani hakuna mtu.....🤨
Haina haja,mlinzi mpole Hana faida!Sijui wapi nitaupunguza
1. Shida hela. Iondolewe kwanza.Nakuelewa vyema,
Yote haya yanafanyika kwenye jamii, tunaona na kusoma yaliyoandikwa....
Lakini.....
Kama kizazi cha zamani kiliweza haya, kwanini kizazi cha sasa kinazurula huku na kule...?? Shida ilianzia wapi? Nini kifanyike shida iishe?
Waliosema kila lenye mwanzo lina mwisho, tuwasubirie siajabu kizazi kijacho watakuwa na hulka za vizazi vya zamani na kurejesha utulivu na heshima kwenye jamii.